Kwanini dr kikwete anahusishwa na sehemu kubwa ya ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini dr kikwete anahusishwa na sehemu kubwa ya ufisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TumainiEl, May 20, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Jamani tunaomba kupata majibu kutoka ikulu lasivyo itafika baada ya J. Kikwete wengi watasimama kizimbani. Hapa ipo siri hatuijuwi nahuu ndio muda twataka kuijuwa.
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  tetesi. Rekebisha
   
 3. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukisemwa katika jamii kama kiongozi ni vizuri ujiangalie, kwani jamii ndiyo kioo chako.
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Heading imetulia, maelezo sijaelewa kabisa!, weka japo kwa kirefu inaonekana unachotaka kueleza is logical!
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Anahusishwa na sehemu kubwa ya Ufisadi uliotendeka hapa nchini kwasababu pesa za kifisadi ndio zilizomuingiza Ikulu na pili kwa kuwalinda mafisadi wasichukuliwe hatua za kisheria anadhihilisha kuwa yeye pia anahusika!!
   
 6. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjenga nchi ni mwananchi na mbomoaji?
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni mjenganchi
   
 8. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wala sielewi
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  anahusishwa kwa sababu anahusika sana na nchi yetu.na kinachofanyika sasa ni ushapu wa kukwapua.
  uzuri wa wizi wa viongozi wa sasa mungu kawapiga upofu pamoja na kuweka benk za nje nyingi wajengea mahekalu hapa nchini kwa hiyo kuwatambua haisumbui.
   
 10. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Topic ni nzuri lakini maelezo hayana mashiko.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huree nimetoka kwenye ban niliyosababishiwa na ritz juzi mods hawanipendi kweli!! Ngoja nikimbie thread hatarishi Kama hii hamnipati tena!!!!! CDM kwa kwenda mbele
   
 12. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu!
   
 13. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni fisadi
   
 14. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kikwete na Ufisadi ni sawa na M.ku.ndu na Ma.vi.
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Tatizo la meseji za kwenye simu
  inatia uvivu sana kuandika, pole sana
  ujumbe haujafika vizuri mkuu, jaribu ku-edit.
   
 16. a

  abdalah Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Dr.Kikwete ni nani?
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tanzania it high time we got rid of fisadi kikwete and the gang!
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mashiko yapi?
  Kikwete fisadi.
  wenzake anawajua,
  wengine kawashitaki miaka zaidi ya mitatu imepita kesi haijatajwa tean mahakamani.
  haina mashiko kwa mafisadi hapo sawa
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ni binti ya rais wa Tanzania, salama Kikwete, daktari wa meno,
  babake ndo Mh. Dr. Dr. Dr. kikwete
   
 20. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  si kuhusishwa, ameshiriki na anendelea kutafuna inji yetu
   
Loading...