Recent content by Cicinho

  1. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Uzima wa tv ni kioo, km hakijapasuka bado Ni nzima hyo
  2. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Laki na nusu
  3. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

    Swali namba 2,hv ni kwel serikali imeshindwa kuchukua hatua japo kw hao maadui zake wakafikishwa mahakamani
  4. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Ofisini kwetu wapo kwenye vikao vya mwisho kuamua likizo ya lazima hali si nzuri

    Kumbe wahanga wa hili jambo tumejaa kibao Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Hivi kwani wakuu juna haja ya kuattach na application letter bada ya kujaza kila kitu?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Niuzie smartphone

    Tubadilishane na sony experia z3 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Sony experia Z3

    Kw unashauri km ntaipata iwe chini ya apo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Sony experia Z3

    Habari wana jf,kichwa cha uzi hapo juu kinajieleza,nahitaji kujua bei ya sony experia z3 na ambae aliyewahi kuitumia ikoje kiutendaji Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Huyu ni diamond kweli?bhasii hakika jamaa amefika ukingoni!!

    Na mi naunga mkojo pia
  10. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Old is good : UVC ft FEROUZ-VUMILIA

    One of my best bongo fleva song ever
  11. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Naomba mnijulishe umuhimu wa ku root simu
  12. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Nauza Tecno c9

    Chukua 180
  13. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Nauza TECNO C8 kwa 170,000/=

    Chukua 130,ukiwa interested nicheki
  14. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane au nikuuzie samsung note 1

    Habar wana jf,naomba kubadilishana na mtu au nimuuzie simu aina ya samsung galaxy note 1,haina tatizo lolote Nmeletewa lkn nmezoea simu ya lain 2. Km kuuza bei ni 150,000
  15. Cicinho

    JamiiForums Tanzania Unahitaji simu used?

    Cjawahi kupiga mtu roba,huwa naletewa cm za mtumba na ndugu ndo nauza na wkt mwngne mtu mtaani maisha yakimshinda ananiuzia na mm huuza npate riziki
Back
Top Bottom