Unahitaji simu used?

Cicinho

Senior Member
Oct 30, 2013
165
13
Yeyote anaehitaji simu used ya aina yeyote ile naomba anitafute kw namba 0717340502 tufanye biashara
 
Cjawahi kupiga mtu roba,huwa naletewa cm za mtumba na ndugu ndo nauza na wkt mwngne mtu mtaani maisha yakimshinda ananiuzia na mm huuza npate riziki
kwahiyo tutakuwa tunasubiri mpaka uletewe ndiyo utuuzie? na kama unazo nyingi weka picha na bei zake hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom