Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Una yaona yana mantiki kwasababu hujataka kufikiri japo kidogo. Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi watu wengi walipendekeza cctv kamera zilizo kuwa nyumbani kwa waziri Kalemani zitumike kuwabaini walio mpiga . Kesho yake ziliondolewa haraka sana ili kufuta ushahidi. CHADEMA walipo omba ufanyike uchunguzi huru juu ya tukio hilo, serikali ikakataa. Bado hujajua tu nani alihusika ?
Hayo maswali yanahusiana vp nakupigwa risasi Lissu?
 
Hayo maswali yako mepesi sana hata mimi ningeyajibu na pia hayo maswali hayakuulizwa kwababu majibu yake alishaulizwa kwenye media tv za nje sasa unataka aulize tena apate majibu yaleyale tafuta alivyohojiwa lisu na bbc, ktn, utapata majibu yake

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Swali namba 2,hv ni kwel serikali imeshindwa kuchukua hatua japo kw hao maadui zake wakafikishwa mahakamani
 
Hivi hawa waandishi wangekuwa wanajifunza waandishi kama Tim Sebastian wa hard talk wanavyoulizwa maswali, unapomhoji mgombea urahisi inabidi ujiandae kuliko yeye anavyojiandaa siyo kukaa na kumchekeachekea
 
Back
Top Bottom