Recent content by Chyasaka

  1. C

    Je, oil ya petrol italinda kenchi zangu?

    Jamani mnazidi kumchanganya muuliza swali, ni kwamba kuna oil kwa ajili ya engine za petrol na oil kwa ajili ya engine za dizeli. Sasa yeye katumia oil safi ambayo haijatumika ya petrol engine. Ndio inakuwa nyeupe haijachafuka ikitumika inakuwa nyeusi.
  2. C

    Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

    Ni busara kufanya tafiti na angalau hata kujua chanzo cha huo mzozo, kabla ya kuandika kitu usichokielewa kwa ufasaha. Ikumbukwe mzozo wa mpaka katika hilo ziwa, ulikuwa toka tunapata uhuru.Aliyekuwa raisi wa kwanza wa taifa hili, marehemu Julius K. Nyerere alizozana na marehemu raisi Kamuzu wa...
  3. C

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Bro mbona hapo kuhusu huo moshi mambo yako wazi tu,gari limepata itilafu alafu kahamia gari lingine nalo pia ni la kumtafuta mchawi?
  4. C

    Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

    Mwenyezi anaheshimu sana Demokrasia ndio maana kaweka pepo na moto na njia za kufika huko, hivyo chaguzi ni yako.La sivyo angeweza kufanya wote tukawa ni wa motoni au peponi.
  5. C

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Kwa Kawaida mimi huwa mvivu kuandika lakini kwa hili uvivu umenitoka. Ni jambo la kushangaza kwa kiongozi mwandamizi wa ngazi ya ukuu wa mkoa , kulalamikia serikali ambayo yeye ni mmojawapo wa wasaidizi wa raisi. Kama ni kweli yeye kama mkuu wa mkoa hajatendewa haki au kwa maana nyingine...
  6. C

    Kumbe Puma Energy ni kampuni ya Serikali!

    Ownership and shareholders Puma Energy is a privately owned company, providing us with the flexibility to react quickly to customers' needs. We have a special relationship with our two strategic partners and main shareholders - Trafigura Group and Sonangol Holdings. Although we operate at...
  7. C

    Uonezi katika udahili 2017, Maombi chuoni na kila chuo unalipa

    Ndugu yangu kabla ya kujibu tafadhali jaribu kutafakari angalau kidogo,mnaweza wengi mkawa na sifa stahiki na kuchagua course na chuo kimoja kuzidi uwezo wa chuo husika, na hiyo inatokea hivyo basi, kuwa salama inakubidi huombe zaidi ya chuo kimoja, na kinyume cha hapo pia kuna vyuo vinakosa...
  8. C

    Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Mheshimiwa Raisi ungeenda mbali zaidi ya hapo na kuitupia uzito wa pekee hii EWURA,haiwezekani na haiingii akilini kwa taasisi nyeti kama EWURA kutumika kama muhuri wa kuhalalisha bei kandamizi kwa wananchi.Ikumbukwe wananchi tunailipa EWURA fedha nyingi sana kwa ajili ya kututetea,yaani...
  9. C

    Mnyika: Tuliamua kura za ndio na hapana sababu wagombea wawili huleta mgogoro; Ni sahihi?

    Ndugu yangu jibu hoja au kaa kimya,kama kuna mambo yanatendeka ndivyo sivyo kwa nini watu wasiwe huru kuuliza? Na ni moja ya sababu ya kuwa na hili jukwaa ili tujuzane na kuelimishana, siyo kubezana.
  10. C

    Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

    Tatizo si kutua au kutokutua,mtoa mada alikuwa anajaribu kudadavua utumiaji wa mafuta toka point moja kwenda nyingine. Na wengine pia wamejaribu kutoka nje ya mada na kuelezea kuhusu upatikanaji wa abiria.Hauwezi kulinganisha utumiaji wa mafuta kati ya mlori mkubwa{semi trailler 40 ton} na ka...
  11. C

    Kumekucha Tanzania ya viwanda: China kujenga viwanda mkoa wa Simiyu

    Hapana tutakuwa wanyapara wa wawekezaji,wao wawekeze sisi tuwasimamie
  12. C

    Mitambo ya kufulia umeme wa gesi ni used

    Jamani tuwe ni watu wa kufanya hata kaudadisi kidogo sio kukurupuka na kuandika,hii mitambo ilikuwa inabadilishwa kutoka kwenye mfumo wa kutumia dizeli kwenda kwenye mfumo wa kutumia gesi.Kwa hiyo kitaalamu ilikuwa inabadilishiwa ili iweze kuhimili joto kubwa zaidi.
  13. C

    Ndoto hii ina maana gani?

    Tafadhali jaribu kulalia mto[pillow]na hakikisha kitanda chako hakijashuka sehemu ya kichwa.Tatizo hili huwakumba watu wengi na wakifikiria kwamba wamelogwa kumbe ni tatizo la kisayansi.
  14. C

    Selelii awavua nguo Rostam, Lowassa

    Mtasubiri sana
Back
Top Bottom