Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

Ni kweli ila hebu soma nilichoongezea halafu uniambie hapo tumeokoa nini?
Ukiona watu wanauliza ujue pamoja na kuongeza hizo facts bado hujaeleweka, kuna haya mawili:
1. Je kiwanja cha ndege cha Songea kinaweza kutumiwa na Boeing 777?na je kuna viwanja vingapi nchini sasa vitaweza kutumiwa na ndege hiyo?hii ni hoja ya msingi sana kufikia uamuzi.
2. Je tuna abiria 450 kwa safari moja watakaosafiri kati ya Dar na Songea, Dar na Mbeya, Dar na Tabora, na Dar na Dodoma kwa uchache? Kwa kuongezea tu kwa sasa usafiri wa ndege Songea na Dar unakuwepo kama mara mbili au tatu kwa wiki, na uwezo wa ndege hizo ni abiria 12 tu kwa safari.Maana yake Songea kwa wiki kuna watu wanaopanda ndege wasiozidi 36 kwa route moja, sasa unawaletea ghafla ndege ya abiria 450?

Ukijibu hayo maswali ndipo utakuwa na haki ya kuelekea kwenye calculations hizo, bila vigezo hivyo viwili Boeing 777 haiwezi kuwa na maana.
 
umenena vema mkuu lakini hapo unaposema bombadier inaenda mara 2 hujafanya nawewe utafiti. inamaana unawachukua watu wa sherehe au msiba kwamba lazima uwamalize?.kwani coaster zinapobeba abiria huwa zinarudia tena kubeba wale abiria ambao haikuwabeba mwanzo tofauti na Yutong zinazobena wote?
Unadhani abiria watakuwa wanasubiri tu ili waje wabebwe na Bombadier?
na pia unapofanya times 2 mkwenda na kurudi inamaana akitoka songsa hawezi beba abiria kwavole anaenda kumalizia aliowaacha dar? Mkuu lazima hiyo bombadier inaporudi itabeba abiria kutoka songea to dar.
ukisema hio ni sawa na wenye hiace na coaster wasifanye biashara?
 
Boeing ya watu 450 kwanza haiwezi kutua songea
Tatizo si kutua au kutokutua,mtoa mada alikuwa anajaribu kudadavua utumiaji wa mafuta toka point moja kwenda nyingine.
Na wengine pia wamejaribu kutoka nje ya mada na kuelezea kuhusu upatikanaji wa abiria.Hauwezi kulinganisha utumiaji wa mafuta kati ya mlori mkubwa{semi trailler 40 ton} na ka pikapu 2 ton.Hiyo tofauti iliyoelezewa ni kubwa mno ambayo inamfanya mtu makini kujifikirisha na sio kubugia tu na kuchekelea kama mwehu.
 
Awali ya yote nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu wa Kaya yetu kwa moyo wake wa kizalendo wa kutuletea ndege mbili mpya ili kufufua shirika letu ambalo wenzie walilitafuna na kulifilisi. Japo haohao ndio wanaomshangilia kama vile waliofilisi shirika hilo siyo wao.

Mkuu wa Kaya umedanganywa kuhusu gharama za usafiri wa ndege Dar to Songea. Amesema kuwa ndege za kawaida zinaweza kutumia mafuta ya milioni 28 kutoka Dar to Songea lakini ndege mpya za Bombadier Q400 zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Mimi sio mtaalamu wa ndege lakini taarifa imenifanya kufanya utafiti kidogo

Katika kajiutafiti kangu nimegundua kiwango cha mafuta ya ndege kwa safari hakipo constant. Kinatofautiana kutokana na sababu anuai, kama vile aina ya ndege, umbali wa safari, uzito wa mzigo wa kwenye cabin, kimo kutoka usawa wa bahari, namna ya kupaa. Vyote hivi huchangia utofauti wa utumiaji wa mafuta ktk ndege.

Katika hayo tuchukue moja la aina ya ndege na hayo mengi yawe constant (under ceteris peribus). Mkuu wa Kaya amesema "ndege nyingine" zitatumia mafuta ya mil.28 kutoka Dar kwenda Songea, lakini Bombadier zetu zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Tuchukulie mfano wa ndege aina ya Boeing 777 yenye uwezo wa kubeba abiria hadi 450 (mara 6 zaidi ya Bombadier zetu).
Umbali wa Dar to Songea kwa barabara ni maili 655 sawa na kilomita 1,054. Lakini kwa anga ni maili 364 sawa na kilomita 585. Boeing 777 inauwezo wa kukimbia kwa speed ya maili 590 kwa saa, sawa na kilomita 949 kwa saa. Kwahiyo ikisafiri kutoka Dar to Songea (kilomita 585) itatumia mwendo wa dakika 36 tu.
www.distancecalculator.net

Mafuta ya ndege hupimwa kwa galoni (US Liquid gallon) ambapo galoni moja ni sawa na lita 3.7 za ujazo. Boeing 777 inatumia galoni 14.4 za mafuta kwa injini moja kwa dakika (1 lg/engine/minute). Boeing 777 ina injini mbili za "Rolls Royce trent 892" zinazotumia galoni 28.8 za mafuta kwa dakika moja (ingia hapa ). Hivyo basi kwa dakika 36 itakazotumia kutoka Dar to Songea itatumia galoni 1,036.
www.askcaptainlim.com

Galoni moja ya mafuta (US liquid gallon) ina lita 3.7 za ujazo. Kwahiyo galoni 1,036 ni sawa na lita 3,836. Bei ya mafuta ya ndege (jet fuel) katika soko la Marekani ni dola 1.38 kwa galoni moja kwa bei ya September 1 mwaka huu. Kwa Tanzania sijui bei ni kiasi gani, lakini tukadirie ni mara mbili ya bei ya Marekani, yani dola 2.76 kwa galoni moja ya lita 3.7.
www.flightdeckfriend.com

Kwahiyo tukitaka kujua gharama za mafuta ya Boeing 777 kutoka Dar kwenda Songea tunachukua galoni 1,036 mara dola 2.76, mara bei ya dola kwa leo ambayo ni TZS 2,182/=. Utapata Shilingi 6,239,123/=. Hii ndio gharama halisi ya mafuta ambayo Boeing 777 itatumia kutoka Dar to Songea.

Maana yake ni kwamba Boeing 777 itatumia mafuta ya milioni 6.2 kupeleka abiria 450 Songea kutokea Dar.

Sasa twende kwenye Bombadier zetu ambazo Mkuu wa Kaya amesema zinatumia mafuta ya milioni 1 tu kwa safari ya Dar - Songea. Bombadier Q400 inatumia mafuta ya milioni 1 kusafirisha abiria 75 tu kutoka Dar to Songea.
Kwahiyo kama kuna abiria 450 wa kwenda Songea, ndege ya Boeing 777 itawabeba wote na itakwenda mara moja tu kwa mafuta ya milioni 6. Lakini Bombadier itabidi iende trip 6 ndipo iweze kuwamaliza. Yani iende kwa mafuta ya milioni 1, irudi kwa mafuta ya milioni 1 (round ya kwanza), iende tena kwa mafuta ya milioni 1 na kurudi kwa mafuta ya milioni moja (round ya pili). Hadi round zote 6 ziishe Bombadier yetu itakua imetumia mafuta ya milioni 12.
Maana yake ni kwamba Bombadier itaenda round 6 na itatumia mafuta ya milioni 12, kubeba abiria walewale ambao wangebebwa na Boeing 777 mara moja tu na kwa gharama ya mafuta ya milioni 6 tu.

Inaonekana hata waliompa taarifa Mkuu wa kaya hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu gharama, aliposikia mafuta ya milioni 1 Dar to Songea akaona ni gharama ndogo kumbe ndege pia inabeba abiria wachache.
Calculation ya gharama za mafuta lazima ziende sambamba na idadi ya abiria. .

NAOMBA NIONGEZEE FACT NYINGINE KUONYESHA KUWA MKUU WA KAYA ALIDANGANYWA.

Kwa kutumia yale makadirio
1 US Gallon = 3.7 Lita

Dhamani ya Dola ni Tshs 2,182

Kwahiyo,
Kama 3.7 Lita = 2.76 US Dolla
1 Lita = 0.8 US Dolla

Kumbuka Bombadier Q400 inatumia Lita 7 @ Maili

Dar to Songea ni 364 Maili

Angalia hapa:

LITA 7 × 364 MAILI × 0.8 DOLA @ LITA × 2182 TSH (Thamani ya Shilingi @ Dola) = 4,447,788.8 TSHS

KWAHIYO;
GHARAMA YA NDEGE TULIYONUNUA KUSAFIRISHA ABIRIA 75 KUTOKA DAR - SONGEA KWA SAFARI MOJA TU NI 4,447,788.8 TSHS.

Nani alimuambia Mkuu wa Kaya ni 1,000,000 TSHS?

ALIYEMDANGANYA MKUU WA KAYA AADHIBIWE....

NAIPENDA TANZANIA NAWACHUKIA WAPIGA DILI.
Faida pekee ya hizo ndege zetu ni kuweza kutua kwenye viwanja ambayo ndege kubwa hazitui; kwa economy of scale itakuwa iko chini
 
Hizi ndege zinasaidia wapinzani kupata pa kuongelea hawana jipya. Mpaka leo kuna watanzania wanaona ubahili wa kupanda basi kutoka Dar mpaka Tanga wapo radhi kupanda Malori na mafuso walipe 5,000 badala ya 13,000 ya Tashirifu alafu wewe unamletea habari ya Boing 777 atapanda lini! Hiyo bombardier ndio sawa ya wabongo kwani hatuna utaratibu wa kupanda ndege
 
Mkuu,

1) Ikitokea tuseme kuna demand ya abiria labda 200 tu wa kwenda songea kwa Muda huo uliozungumzia huoni kama hesabu zako zitakinzana??
Manake Bombardier itahitajika kwenda trip mbili labda kwa mafuta ya hiyo 4mil total wakati Boeing mwendo ni uleule wa afuta ya 6mil (kwenda tu)??

2) Kama umeweza kufanya upembuzi ukagundua Si kweli kua Boeing inagharimu Over 26Mil bali only 6mil, mbona hukufanya upebuzi huohuo kwenye mafuta ya Bombardier? Huoni kama inawezekana aliedanganya kwenye mafuta ya Boeing atakua amedanganya pia kwenye mafuta ya Bombardier?? Huoni kama inawezekana hata hiyo 1mil per trip inaweza kua kubwa nayo kama ilivyokuzwa ile ya Boeing??
Boeing inatua Songea?
 
Hizi ndege zinasaidia wapinzani kupata pa kuongelea hawana jipya. Mpaka leo kuna watanzania wanaona ubahili wa kupanda basi kutoka Dar mpaka Tanga wapo radhi kupanda Malori na mafuso walipe 5,000 badala ya 13,000 ya Tashirifu alafu wewe unamletea habari ya Boing 777 atapanda lini! Hiyo bombardier ndio sawa ya wabongo kwani hatuna utaratibu wa kupanda ndege
Angalia gharama ya hizo ndege mbili.
Kuna fact nimeongezea, ukisoma utanielewa zaidi
 
Wewe mdau mleta mada kias flan hauko sawa.kama trip moja ya Bomberdier ni abiria 75, kwenda na kurudi si abiria 150? Na ili upate hao 450 itahitaj trip 3. Au mwenzetu ulichukulia inarud na ruban tu bila abiria wala chochote? Au hiyo 1 million sio return trip?
Anza kusoma upya alafu ndio ijibu..
 
Awali ya yote nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu wa Kaya yetu kwa moyo wake wa kizalendo wa kutuletea ndege mbili mpya ili kufufua shirika letu ambalo wenzie walilitafuna na kulifilisi. Japo haohao ndio wanaomshangilia kama vile waliofilisi shirika hilo siyo wao.

Mkuu wa Kaya umedanganywa kuhusu gharama za usafiri wa ndege Dar to Songea. Amesema kuwa ndege za kawaida zinaweza kutumia mafuta ya milioni 28 kutoka Dar to Songea lakini ndege mpya za Bombadier Q400 zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Mimi sio mtaalamu wa ndege lakini taarifa imenifanya kufanya utafiti kidogo

Katika kajiutafiti kangu nimegundua kiwango cha mafuta ya ndege kwa safari hakipo constant. Kinatofautiana kutokana na sababu anuai, kama vile aina ya ndege, umbali wa safari, uzito wa mzigo wa kwenye cabin, kimo kutoka usawa wa bahari, namna ya kupaa. Vyote hivi huchangia utofauti wa utumiaji wa mafuta ktk ndege.

Katika hayo tuchukue moja la aina ya ndege na hayo mengi yawe constant (under ceteris peribus). Mkuu wa Kaya amesema "ndege nyingine" zitatumia mafuta ya mil.28 kutoka Dar kwenda Songea, lakini Bombadier zetu zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Tuchukulie mfano wa ndege aina ya Boeing 777 yenye uwezo wa kubeba abiria hadi 450 (mara 6 zaidi ya Bombadier zetu).
Umbali wa Dar to Songea kwa barabara ni maili 655 sawa na kilomita 1,054. Lakini kwa anga ni maili 364 sawa na kilomita 585. Boeing 777 inauwezo wa kukimbia kwa speed ya maili 590 kwa saa, sawa na kilomita 949 kwa saa. Kwahiyo ikisafiri kutoka Dar to Songea (kilomita 585) itatumia mwendo wa dakika 36 tu.
www.distancecalculator.net

Mafuta ya ndege hupimwa kwa galoni (US Liquid gallon) ambapo galoni moja ni sawa na lita 3.7 za ujazo. Boeing 777 inatumia galoni 14.4 za mafuta kwa injini moja kwa dakika (1 lg/engine/minute). Boeing 777 ina injini mbili za "Rolls Royce trent 892" zinazotumia galoni 28.8 za mafuta kwa dakika moja (ingia hapa ). Hivyo basi kwa dakika 36 itakazotumia kutoka Dar to Songea itatumia galoni 1,036.
www.askcaptainlim.com

Galoni moja ya mafuta (US liquid gallon) ina lita 3.7 za ujazo. Kwahiyo galoni 1,036 ni sawa na lita 3,836. Bei ya mafuta ya ndege (jet fuel) katika soko la Marekani ni dola 1.38 kwa galoni moja kwa bei ya September 1 mwaka huu. Kwa Tanzania sijui bei ni kiasi gani, lakini tukadirie ni mara mbili ya bei ya Marekani, yani dola 2.76 kwa galoni moja ya lita 3.7.
www.flightdeckfriend.com

Kwahiyo tukitaka kujua gharama za mafuta ya Boeing 777 kutoka Dar kwenda Songea tunachukua galoni 1,036 mara dola 2.76, mara bei ya dola kwa leo ambayo ni TZS 2,182/=. Utapata Shilingi 6,239,123/=. Hii ndio gharama halisi ya mafuta ambayo Boeing 777 itatumia kutoka Dar to Songea.

Maana yake ni kwamba Boeing 777 itatumia mafuta ya milioni 6.2 kupeleka abiria 450 Songea kutokea Dar.

Sasa twende kwenye Bombadier zetu ambazo Mkuu wa Kaya amesema zinatumia mafuta ya milioni 1 tu kwa safari ya Dar - Songea. Bombadier Q400 inatumia mafuta ya milioni 1 kusafirisha abiria 75 tu kutoka Dar to Songea.
Kwahiyo kama kuna abiria 450 wa kwenda Songea, ndege ya Boeing 777 itawabeba wote na itakwenda mara moja tu kwa mafuta ya milioni 6. Lakini Bombadier itabidi iende trip 6 ndipo iweze kuwamaliza. Yani iende kwa mafuta ya milioni 1, irudi kwa mafuta ya milioni 1 (round ya kwanza), iende tena kwa mafuta ya milioni 1 na kurudi kwa mafuta ya milioni moja (round ya pili). Hadi round zote 6 ziishe Bombadier yetu itakua imetumia mafuta ya milioni 12.
Maana yake ni kwamba Bombadier itaenda round 6 na itatumia mafuta ya milioni 12, kubeba abiria walewale ambao wangebebwa na Boeing 777 mara moja tu na kwa gharama ya mafuta ya milioni 6 tu.

Inaonekana hata waliompa taarifa Mkuu wa kaya hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu gharama, aliposikia mafuta ya milioni 1 Dar to Songea akaona ni gharama ndogo kumbe ndege pia inabeba abiria wachache.
Calculation ya gharama za mafuta lazima ziende sambamba na idadi ya abiria. .

NAOMBA NIONGEZEE FACT NYINGINE KUONYESHA KUWA MKUU WA KAYA ALIDANGANYWA.

Kwa kutumia yale makadirio
1 US Gallon = 3.7 Lita

Dhamani ya Dola ni Tshs 2,182

Kwahiyo,
Kama 3.7 Lita = 2.76 US Dolla
1 Lita = 0.8 US Dolla

Kumbuka Bombadier Q400 inatumia Lita 7 @ Maili

Dar to Songea ni 364 Maili

Angalia hapa:

LITA 7 × 364 MAILI × 0.8 DOLA @ LITA × 2182 TSH (Thamani ya Shilingi @ Dola) = 4,447,788.8 TSHS

KWAHIYO;
GHARAMA YA NDEGE TULIYONUNUA KUSAFIRISHA ABIRIA 75 KUTOKA DAR - SONGEA KWA SAFARI MOJA TU NI 4,447,788.8 TSHS.

Nani alimuambia Mkuu wa Kaya ni 1,000,000 TSHS?

ALIYEMDANGANYA MKUU WA KAYA AADHIBIWE....

NAIPENDA TANZANIA NAWACHUKIA WAPIGA DILI.

Nadhani wewe ndiye utakuwa umedanganywa maana umekuja na fact zinazojibu hoja au maswali uliyojiuliza mwenyewe?? kwani hainiingii akilini unakuja na gharama ya mafuta ya ndege yanayokuwa sana na gharama ya mafuta yanayotumika na v8, kutoka dsm mpaka mbeya taking into consideration variable cost plus fixed cost ni one million plus.
 
Iyo boieng 777 ikienda songea na hao abiria 450 kwa gharama ulizosema hairudi maana cjaona kwenye hesabu zako!
 
Wewe mdau mleta mada kias flan hauko sawa.kama trip moja ya Bomberdier ni abiria 75, kwenda na kurudi si abiria 150? Na ili upate hao 450 itahitaj trip 3. Au mwenzetu ulichukulia inarud na ruban tu bila abiria wala chochote? Au hiyo 1 million sio return trip?

Ngoja tukupe ufahamu. Na lazima mwelewe tu, maana hakuna jinsi:

• Dar - Songea abiria 75 = trip 1 mafuta ya TZS 1,000,000

• Songea - Dar abiria 75 = trip 2 mafuta ya TZS 1,000,000

• Dar - Songea abiria 75 = trip 3 mafuta ya TZS 1,000,000

• Songea - Dar abiria 75 = trip 4 mafuta ya TZS 1,000,000

• Dar - Songea abiria 75 = trip 5 mafuta ya TZS 1,000,000

• Songea - Dar abiria 75 = trip 6 mafuta ya TZS 1,000,000

Kwa hiyo;

Trip ni 6

TRIP abiria 75

Maana yake 75 × 6 = 450 passengers!!

Gharama ya mafuta kwa mujibu wa "Mtukufu" ni;

TZS 1,000,000 kwa safari moja

Safari (trip) ni 6

Kwa hiyo gharama ya mafuta ni;

TZS 1,000,000 × 6 = 6,000,000!!!

Hiyo ni Bombadia Mapanga shaa yenye capacity ya kubeba abiria 75 kwa safari moja!!

Je, Boeing 777 yenye uwezo wa kubeba abiria 450 kwa mpigo au safari moja?

At least LumumbaB7Bombadia wenzako wameshaelewa na wanakuja na ubishi ktk engo tofauti

Ingalau wenzako wanabisha kuwa, tatizo ni kuwa hakuna uwanja wa kutua Boeing 777 huko Songea lakini kwa ishu ya gharama maana yake wanakubali kuwa "Mtukufu" amedanganywa mchana kweupe!!

NB: Rudia tena kusoma uzi wa mleta mada utaelewa. Naamini hukusoma na kuelewa ndiyo maana umekuja na ubishi usio na kichwa wala miguu!!
 
Awali ya yote nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu wa Kaya yetu kwa moyo wake wa kizalendo wa kutuletea ndege mbili mpya ili kufufua shirika letu ambalo wenzie walilitafuna na kulifilisi. Japo haohao ndio wanaomshangilia kama vile waliofilisi shirika hilo siyo wao.

Mkuu wa Kaya umedanganywa kuhusu gharama za usafiri wa ndege Dar to Songea. Amesema kuwa ndege za kawaida zinaweza kutumia mafuta ya milioni 28 kutoka Dar to Songea lakini ndege mpya za Bombadier Q400 zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Mimi sio mtaalamu wa ndege lakini taarifa imenifanya kufanya utafiti kidogo

Katika kajiutafiti kangu nimegundua kiwango cha mafuta ya ndege kwa safari hakipo constant. Kinatofautiana kutokana na sababu anuai, kama vile aina ya ndege, umbali wa safari, uzito wa mzigo wa kwenye cabin, kimo kutoka usawa wa bahari, namna ya kupaa. Vyote hivi huchangia utofauti wa utumiaji wa mafuta ktk ndege.

Katika hayo tuchukue moja la aina ya ndege na hayo mengi yawe constant (under ceteris peribus). Mkuu wa Kaya amesema "ndege nyingine" zitatumia mafuta ya mil.28 kutoka Dar kwenda Songea, lakini Bombadier zetu zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Tuchukulie mfano wa ndege aina ya Boeing 777 yenye uwezo wa kubeba abiria hadi 450 (mara 6 zaidi ya Bombadier zetu).
Umbali wa Dar to Songea kwa barabara ni maili 655 sawa na kilomita 1,054. Lakini kwa anga ni maili 364 sawa na kilomita 585. Boeing 777 inauwezo wa kukimbia kwa speed ya maili 590 kwa saa, sawa na kilomita 949 kwa saa. Kwahiyo ikisafiri kutoka Dar to Songea (kilomita 585) itatumia mwendo wa dakika 36 tu.
www.distancecalculator.net

Mafuta ya ndege hupimwa kwa galoni (US Liquid gallon) ambapo galoni moja ni sawa na lita 3.7 za ujazo. Boeing 777 inatumia galoni 14.4 za mafuta kwa injini moja kwa dakika (1 lg/engine/minute). Boeing 777 ina injini mbili za "Rolls Royce trent 892" zinazotumia galoni 28.8 za mafuta kwa dakika moja (ingia hapa ). Hivyo basi kwa dakika 36 itakazotumia kutoka Dar to Songea itatumia galoni 1,036.
www.askcaptainlim.com

Galoni moja ya mafuta (US liquid gallon) ina lita 3.7 za ujazo. Kwahiyo galoni 1,036 ni sawa na lita 3,836. Bei ya mafuta ya ndege (jet fuel) katika soko la Marekani ni dola 1.38 kwa galoni moja kwa bei ya September 1 mwaka huu. Kwa Tanzania sijui bei ni kiasi gani, lakini tukadirie ni mara mbili ya bei ya Marekani, yani dola 2.76 kwa galoni moja ya lita 3.7.
www.flightdeckfriend.com

Kwahiyo tukitaka kujua gharama za mafuta ya Boeing 777 kutoka Dar kwenda Songea tunachukua galoni 1,036 mara dola 2.76, mara bei ya dola kwa leo ambayo ni TZS 2,182/=. Utapata Shilingi 6,239,123/=. Hii ndio gharama halisi ya mafuta ambayo Boeing 777 itatumia kutoka Dar to Songea.

Maana yake ni kwamba Boeing 777 itatumia mafuta ya milioni 6.2 kupeleka abiria 450 Songea kutokea Dar.

Sasa twende kwenye Bombadier zetu ambazo Mkuu wa Kaya amesema zinatumia mafuta ya milioni 1 tu kwa safari ya Dar - Songea. Bombadier Q400 inatumia mafuta ya milioni 1 kusafirisha abiria 75 tu kutoka Dar to Songea.
Kwahiyo kama kuna abiria 450 wa kwenda Songea, ndege ya Boeing 777 itawabeba wote na itakwenda mara moja tu kwa mafuta ya milioni 6. Lakini Bombadier itabidi iende trip 6 ndipo iweze kuwamaliza. Yani iende kwa mafuta ya milioni 1, irudi kwa mafuta ya milioni 1 (round ya kwanza), iende tena kwa mafuta ya milioni 1 na kurudi kwa mafuta ya milioni moja (round ya pili). Hadi round zote 6 ziishe Bombadier yetu itakua imetumia mafuta ya milioni 12.
Maana yake ni kwamba Bombadier itaenda round 6 na itatumia mafuta ya milioni 12, kubeba abiria walewale ambao wangebebwa na Boeing 777 mara moja tu na kwa gharama ya mafuta ya milioni 6 tu.

Inaonekana hata waliompa taarifa Mkuu wa kaya hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu gharama, aliposikia mafuta ya milioni 1 Dar to Songea akaona ni gharama ndogo kumbe ndege pia inabeba abiria wachache.
Calculation ya gharama za mafuta lazima ziende sambamba na idadi ya abiria. .

NAOMBA NIONGEZEE FACT NYINGINE KUONYESHA KUWA MKUU WA KAYA ALIDANGANYWA.

Kwa kutumia yale makadirio
1 US Gallon = 3.7 Lita

Dhamani ya Dola ni Tshs 2,182

Kwahiyo,
Kama 3.7 Lita = 2.76 US Dolla
1 Lita = 0.8 US Dolla

Kumbuka Bombadier Q400 inatumia Lita 7 @ Maili

Dar to Songea ni 364 Maili

Angalia hapa:

LITA 7 × 364 MAILI × 0.8 DOLA @ LITA × 2182 TSH (Thamani ya Shilingi @ Dola) = 4,447,788.8 TSHS

KWAHIYO;
GHARAMA YA NDEGE TULIYONUNUA KUSAFIRISHA ABIRIA 75 KUTOKA DAR - SONGEA KWA SAFARI MOJA TU NI 4,447,788.8 TSHS.

Nani alimuambia Mkuu wa Kaya ni 1,000,000 TSHS?

ALIYEMDANGANYA MKUU WA KAYA AADHIBIWE....

NAIPENDA TANZANIA NAWACHUKIA WAPIGA DILI.
Mkuu wewe shughulika na imani ya UKUTA. Haya ya ndege hamtayaweza. Sasa hivi Bombardiers ziko tayari kwa kazi tuna subiri Boeing.

Tunachotaka leo tarehe moja Oktoba ni kwanini hakuna UKUTA?
 
Iyo boieng 777 ikienda songea na hao abiria 450 kwa gharama ulizosema hairudi maana cjaona kwenye hesabu zako!

Amejaribu kulinganisha gharama ya mafuta kwa safari moja ya kwenda tu kwa ndege aina mbili tofauti zenye uwezo wa kubeba kiwango tofauti cha abiria!!

Ukisema kwenda na kurudi, vivyo hivyo na gharama zitaongezeka na kiwango cha abiria waliohudumiwa kitaongezeka for both type of jets Bombadier na Boeing 777!!

Hebu mrudie tena kumsoma mtoa mada. Nadhani hujauelewa msingi wa hoja yake!!
 
Huyo Wa Kawa Mwenyewe Aadhibiwe. Kwani Walichagua Robot Kuongoza Nchi?
 
Back
Top Bottom