Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
- Thread starter
- #21
Lini?!!!!Ilitaifishwa
Lini?!!!!Ilitaifishwa
Ownership and shareholdersKiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Wewe endelea kuzungusha kiuno, maana 2020 siyo mbali lakini wenye uelewa wamefafanua vizuri!!! Hshahaaaaaas..........!!!!8 Signs Your IQ Is Lower Than Average
![]()
Yehodava atakujibu!Ownership and shareholders
Puma Energy is a privately owned company, providing us with the flexibility to react quickly to customers' needs. We have a special relationship with our two strategic partners and main shareholders - Trafigura Group and Sonangol Holdings. Although we operate at arm's-length from both, we benefit from their management expertise and market knowledge.
Ulikuwa hujazaliwa badoLini?!!!!
Labda unajisema wewe
Hakuna wamejipa mashine wakaona waongeze mapato faster kwa kuwabana wengineHahahaaaa..,...mkuu hiyo ni utii bila shuruti!
Mkuu kama kitu hujui unapita kimya utajidharirisha bure! Fuatilia basi hata sababu za uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya Puma uweze kutoa tongotongo kidogo. Nyie ndio mnaomuingiza chska Tundu!!!Ulikuwa hujazaliwa bado
Sasa hata nikikuelewesha huwezi kuelewa bosiMkuu kama kitu hujui unapita kimya utajidharirisha bure! Fuatilia basi hata sababu za uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya Puma uweze kutoa tongotongo kidogo. Nyie ndio mnaomuingiza chska Tundu!!!
Kiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Kwamba serikali iliitaifisha kampuni ya Bp hilo nakuelewa mkuu!Sasa hata nikikuelewesha huwezi kuelewa bosi
Sasa kama serikali ina hisa 50% unasemaje tena kwamba siyo mmiliki?!!! Hapa tutahitaji faiza fox atukumbushe ule usemi wake!Serikali ina share almost 50% na si mmiliki wa kampuni hiyo.Ni private company.
Ni sahihiKwamba serikali iliitaifisha kampuni ya Bp hilo nakuelewa mkuu!
Tena Wengi wao maskini kama mimi tu. Anapata ela ya kula Leo ya kesho akatafute,ana upupu kibao kichwani.Kweli kabisa mkuu. Vilaza ni wengi sana uku kwenye uchumi na biashara uwakuti. Kazi wao kushangilia siasa za kipuuzi upuuzi tuuu zisizokuwa, na mbele wala nyuma
Sasa kama serikali ina hisa 50% unasemaje tena kwamba siyo mmiliki?!!! Hapa tutahitaji faiza fox atukumbushe ule usemi wake!
hii ndoto uliiota muda gani?Maadamu serikali ndio imetoa mwenyekiti wa board wa tipper Na puma hizo kampuni mbili zitatengeneza pesa hadi basi kwani mafuta yasiyosafishwa toka uganda yatasafirishwa kwa meli toka tanga hadi dar kiwanda cha tipper yakishasafishwa Tanzania Na nchi zote za afrika mashariki na kati hazitahitaji kununua mafuta uarabuni mafuta yaliyosafishwa Puma watakuwa ndio wauzaji wakuu na wasambazaji wa mafuta yaliyosafishwa kiwanda cha tipper Tanzania Magufuli hoyeee
Sasa kama serikali haina umiliki kama unavyodai, kwanini Rais amemteua mwenyekiti wa bodi hatua itakafuatiwa na waziri kuteua wajumbe wa bodi ya Puma?!!!Labda niseme hivi uelewe..serikali ina asilimia 50 ya hisa hapo na si 100 kwa hapa Tanzania tu.Ukisema wamiliki ni hawa the Singaporean Trafigura and the Angolan Sonangol Group.
Nionyeshe hicho kitu kidogo hapo!!!INA MAANA MKUU WEWE KAZI YAKO USHABIKI TU? SASA KAMA VITU VIDOGO KAMA HVI HUVIJUI UNAJUA NIN SASA?