Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

Afrika ina madikteta wengi lakini ni ya mwisho katika kila nyanja.Huo mfano wa Kagame hausadifu hali halisi,labda kama unampenda tu.
Sikatai sababu nyie chadema ni vibunzi kila Rais mnamuona dikteta kwa kua anawaongoza na nyie mnajiona viongozi hamtakiw kuongozwa ivi Chadema mtaweza kuniaminisha vip kua mna akil kama mnawajua viongoz wote wa Africa ni madikteta alafu mbowe ni mwana demokrasia?
 
Habar wadau,

Now niko Rwanda waungwana huyu Kagame Baada ya Miaka 20 kama Atakuepo hakuna nchi itakayomfikia. Tanzania na ukubwa wetu mpaka Sasa si kitu kwa Rwanda, Kigali ipo kama Ulaya vile kuanzia Huduma za umeme maji internet na mambo mengine kibao.

Nina imani Rwanda mpaka kufika hapa ni sababu ya Kagame na mfumo wa uendeshaji nchi.
Pia ningeshauri mataifa mengine yote tumuige na tuachane na Demokrasia sababu hata Ulaya na Asia hamna nchi iliyoendelea kwa kukumbatia Demokrasia ndio maana hata Adolf Hitler alipopewa Madaraka tu akawaambia kuwa ili Ujerumani iendelee lazima tusafishe wote wanaotupinga ili Tuijenge nchi.

Sio ujerumani pekee bali nchi zote kubwa Dunia mtakuja kuamini haya baada ya miaka 20 ya Rwanda

Hakuna nchi yeyote duniani ambayo iliendelea au kuendelea bila element za generation husika kuteseka ....na huu sio udikteta ndio uhalisia

JPM knew this na wakamkausha maana aliziba masikio...akijua ukweli ni nini

Hauwezi fanya kitu nchi ambayo kila raia ana priority zake

Demokrasia is and will never work in Africa
 
..hebu aiangalie demokrasia yetu changa kwa jicho tofauti.

..demokrasia hiyo iliweza kutupatia JK ambaye tulimuita dhaifu.

..halafu demokrasia hiyohiyo ikatupatia JPM ambaye tulimuita dikteta.

..ukiwa POSITIVE unaweza kuona kwamba demokrasia inaweza kuridhisha watu wengi zaidi ktk nchi husika.

..kwa maoni yangu nadhani makelele ya upinzani yalikuwa na mchango fulani huku mtaani na kupelekea " pressure " ndani ya ccm kumchagua JPM as their candidate.

..vilevile naamini tukiitunza, tukiiboresha demokrasia ya Tz iko siku ita-create mazingira ya kiongozi "dikteta mwenye akili" kuchaguliwa na Watz.

..Rai yangu ni kwamba tuiboreshe demokrasia yetu ili itoe uwanja wenye USAWA kwa vyama vyote, uzibe mianya ya rushwa, na usimike utaratibu wa uchaguzi ambao matokeo yake yanaheshimika.

..Again, demokrasia inaweza kuipatia nchi kiongozi dikteta kwasababu ni mfumo unaotoa nafasi kwa wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka. Na kama wanataka dikteta watamchagua.

..Wanaopinga demokrasia ni wale wanaotamani Madikteta watakaotawala bila kuwa na uwezekano wa kutoka madarakani. Wakishampata dikteta wao basi wanataka asitoke madarakani hata kama atakuwa anabadilishwa na dikteta mwinginem

Cc Chige, tindo
 
..tatizo ni kwamba mfumo wetu unaruhusu rais dikteta achaguliwe toka ccm wakati wote.

..tusimike mfumo utakaoruhusu madikteta walioko ktk vyama vingine kama cdm, act, cuf, nao wawe na nafasi ya kuchaguliwa kuongoza Tz.
 
..hebu aiangalie demokrasia yetu changa kwa jicho tofauti.

..demokrasia hiyo iliweza kutupatia JK ambaye tulimuita dhaifu.

..halafu demokrasia hiyohiyo ikatupatia JPM ambaye tulimuita dikteta.

..ukiwa POSITIVE unaweza kuona kwamba demokrasia inaweza kuridhisha watu wengi zaidi ktk nchi husika.

..kwa maoni yangu nadhani makelele ya upinzani yalikuwa na mchango fulani huku mtaani na kupelekea " pressure " ndani ya ccm kumchagua JPM as their candidate.

..vilevile naamini tukiitunza, tukiiboresha demokrasia ya Tz iko siku ita-create mazingira ya kiongozi "dikteta mwenye akili" kuchaguliwa na Watz.

..Rai yangu ni kwamba tuiboreshe demokrasia yetu ili itoe uwanja wenye USAWA kwa vyama vyote, uzibe mianya ya rushwa, na usimike utaratibu wa uchaguzi ambao matokeo yake yanaheshimika.

..Again, demokrasia inaweza kuipatia nchi kiongozi dikteta kwasababu ni mfumo unaotoa nafasi kwa wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka. Na kama wanataka dikteta watamchagua.

..Wanaopinga demokrasia ni wale wanaotamani Madikteta watakaotawala bila kuwa na uwezekano wa kutoka madarakani. Wakishampata dikteta wao basi wanataka asitoke madarakani hata kama atakuwa anabadilishwa na dikteta mwinginem

Cc Chige, tindo
Tanzania hakuna Demokrasi ni udikteta wa wizi wa kura tuu ndio unaifanya CCM kuwa madarakani, ingekuwa uchaguzi wa haki CCM tungeshaisahau siku nyingi sana
 
Jamaa limetesa wastaafu kishenzi lile,watu wamestaafu tangu 2017 mpk leo hajalipwa linakomba hela zao nssf linanunua ndege zenye hasara afu linasema hizi pesa zetu za ndaaaaaaaaaaaaaaani.
pesa za ndani..kumbe pesa za watu wamekwapua
 
Tanzania hakuna Demokrasi ni udikteta wa wizi wa kura tuu ndio unaifanya CCM kuwa madarakani, ingekuwa uchaguzi wa haki CCM tungeshaisahau siku nyingi sana

..Na demokrasia sio sawa na coca-cola kwamba lazima ifanane ktk nchi zote. Kwa hiyo sio lazima tuige mfumo ulioko Rwanda.

..sasa kwasababu Watz tumesema tunapenda sana Madikteta, basi tutengeneze utaratibu wetu, au demokrasia yetu, itakayokuwa inatupatia wasaa wa kuwapambanisha wagombea uraisi madikteta toka vyama mbalimbali kila baada ya miaka 5.

..vyama vyote hapa Tz viwe na HAKI sawa mbele ya tume ya uchaguzi. Na Watz wanaopenda udikteta wachague kwa uwazi na maamuzi yao yasiingiliwe na yeyote wakati wanachagua dikteta wanayempenda toka chama wanachokipenda.
 
Yani hatujaelewa dictator analetaje maendeleo na huyu ambae sio dictator shida inakuwa wapi kuleta maendeleo??
Simple! Ukifuatilia siasa za nchi nyingi Africa zinamatatizo ya kimaamuzi katika mipango ya maendeleo na matumizi ya fedha na raslimali zake. Siasa zinatangulia utaalamu na sayansi, kazi hazifanyiki kwa kiwango kinachotakiwa. Utapeli, wizi na ubadhirifu vinakuwa ni vitu vya kawaida. Maendeleo hayakai hapo. Lakini dikteta mwenye akili ya kusukuma maendeleo huyazima yote hayo na kuhakikisha jamii inaelewa na inaona mabadiliko ya kweli, kama mfano uliotolewa wa Paul Kagame wa Rwanda. Ukitaka ukweli huu ukuingie kama chanjo, jitahidi ukatembelee Rwanda.
 
Kuna mtu humu nilimuambia si muda mrefu sana ya kwamba
" Hata Mungu mwenyewe hatambui Demokrasia "

Democracy wont make it happen, it's so hard in early steps like us

Ukisoma maon ya Wapingaji wengi ni hoja za kwenye vitabu vya Civics, Chuki, Kushikilia imperfections za mtu na Utoto. Yaani 😅
Mwenyezi anaheshimu sana Demokrasia ndio maana kaweka pepo na moto na njia za kufika huko, hivyo chaguzi ni yako.La sivyo angeweza kufanya wote tukawa ni wa motoni au peponi.
 
Kuendelea kwa Rwanda sio kwasababu ya udikteta wake ni dhamira yake ya kweli ya kuiona Rwanda inapaa..

mbona burundi na congo haiko hivyo.. je vip kuhusu Uganda hapo.. hujazungumzia teodoro wa guinea ya ikweta ana 41 yrs on the throne

kuna ngueso wa congo brazavile ana 38 yrs za kuwa raisi...

hata kagame angeamua kujilimbikizia angeweza na kuwapotezea wanyarwanda... sema dhamira yake na upatriotism ndo inamfanya aijenge rwanda kwa gharama yoyote..

kwa hiyo tofautisha kiongozi mwenye dhamira safi ya maendeleo na undumilakuwili na tamaa ..

eritrea inaitwa North Korea ya Africa kwasababu ya udikteta wake na nchi maskin wa kutupwa...

Rwanda hawana White elephant projects.. sababu dhamira safi ya kiongoz ya kuiona kesho ya wanyarwanda... same na China na zingine nyingi

ghadafi katawala libya 41 yeara aliifanya libya nchi ya kimaendeleo.. wakat ghadafi yuko madarakan miaka hiyo anaipambania libya iwe na maendeleo huku congo yuko Mobutu anatumia maji ya ufaransa....kule africa ya kati bokasa anabadili cheo kutoka raisi anajiita mfalme

demokrasia or dictorship has nothing to do with maendeleo ya Nchi

hao wazungu mnaowatolea mfano wa kuwa madikteta hawakujifanya miungu watu na kujilimbikizia mali.
 
Tanzania hamna material ambayo hamna ambazo zinatumika katika industrialization! We have almost 80% ya madini ambayo yanatumika kuunda vifaa ambavyo wenzetu wana mashine na viwanda vya kuviunda na kuja kutuuzia tena sisi! Hatuna visionary leaders, Magufuli tried a lot kwa kweli! Ila ameishia kuonekana hayawani sababu eti watu waliminyiw mirija ya wizi pesa ikawa hakuna!
JPM he was a kind of kagame but he was nor smart enough. Na alizungukwa na genge la wahuni, wazee wa mapambio wasio weza hata kumshauri that was a big mistake.

Kagame ni dictator but he is smart. Tazama hata speech zake yuko systematiki sana ata anavyo jibu maswali anayo ulizwa na waandishi wa Habari.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Ya. The guy was mzalendo but.... by the way i felt and love the guy. He was great
 
JPM he was a kind of kagame but he was nor smart enough. Na alizungukwa na genge la wahuni, wazee wa mapambio wasio weza hata kumshauri that was a big mistake.

Kagame ni dictator but he is smart. Tazama hata speech zake yuko systematiki sana ata anavyo jibu maswali anayo ulizwa na waandishi wa Habari.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Huenda
 
Habar wadau,

Now niko Rwanda waungwana huyu Kagame Baada ya Miaka 20 kama Atakuepo hakuna nchi itakayomfikia. Tanzania na ukubwa wetu mpaka Sasa si kitu kwa Rwanda, Kigali ipo kama Ulaya vile kuanzia Huduma za umeme maji internet na mambo mengine kibao.

Nina imani Rwanda mpaka kufika hapa ni sababu ya Kagame na mfumo wa uendeshaji nchi.
Pia ningeshauri mataifa mengine yote tumuige na tuachane na Demokrasia sababu hata Ulaya na Asia hamna nchi iliyoendelea kwa kukumbatia Demokrasia ndio maana hata Adolf Hitler alipopewa Madaraka tu akawaambia kuwa ili Ujerumani iendelee lazima tusafishe wote wanaotupinga ili Tuijenge nchi.

Sio ujerumani pekee bali nchi zote kubwa Dunia mtakuja kuamini haya baada ya miaka 20 ya Rwanda

Ujinga ulizeni kwanini watu hawampendi Museveni . Je wazuri wakifa inakuwaje jeshi linachukua nchi au mtoto. Hizi nchi zinapedwa na waliopo mbali tu ukiwa ndani ni tatizo
 
..hebu aiangalie demokrasia yetu changa kwa jicho tofauti.

..demokrasia hiyo iliweza kutupatia JK ambaye tulimuita dhaifu.

..halafu demokrasia hiyohiyo ikatupatia JPM ambaye tulimuita dikteta.

..ukiwa POSITIVE unaweza kuona kwamba demokrasia inaweza kuridhisha watu wengi zaidi ktk nchi husika.

..kwa maoni yangu nadhani makelele ya upinzani yalikuwa na mchango fulani huku mtaani na kupelekea " pressure " ndani ya ccm kumchagua JPM as their candidate.

..vilevile naamini tukiitunza, tukiiboresha demokrasia ya Tz iko siku ita-create mazingira ya kiongozi "dikteta mwenye akili" kuchaguliwa na Watz.

..Rai yangu ni kwamba tuiboreshe demokrasia yetu ili itoe uwanja wenye USAWA kwa vyama vyote, uzibe mianya ya rushwa, na usimike utaratibu wa uchaguzi ambao matokeo yake yanaheshimika.

..Again, demokrasia inaweza kuipatia nchi kiongozi dikteta kwasababu ni mfumo unaotoa nafasi kwa wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka. Na kama wanataka dikteta watamchagua.

..Wanaopinga demokrasia ni wale wanaotamani Madikteta watakaotawala bila kuwa na uwezekano wa kutoka madarakani. Wakishampata dikteta wao basi wanataka asitoke madarakani hata kama atakuwa anabadilishwa na dikteta mwinginem

Cc Chige, tindo

mna mis use neno udikteta na kuwa mkali!!!
 
We uko Rwanda na akili yako Rwanda hivohivo unazungumzia kainchi ambako ukubwa ni sawa na wilaya ya chamwino.
 
Back
Top Bottom