Recent content by Chupacabra

  1. Chupacabra

    Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Kuanzia 2008 mpka leo haujajua chakufanya😔
  2. Chupacabra

    It's shameful to be regarded as a member of CHADEMA

    My first problem was the guy who proposed Sept. 1, yaani ni hakujua kwamba Sept.1 ni sikukuu ya majeshi....siku jeshi lilipo anzishwa. Chadema inakurupuka inaanzisha movement ambazo they just doomed to fail. KWELI SIASA MCHEZO MCHAFU!
  3. Chupacabra

    Jenista Mhagama na gharama za kuhamia Dodoma

    mkuu hebu tusifinye ubongo basi gharama zote sio zitatoka kwenye wizara moja au posho za hao mawazir zita tosha, hiyo ni moja sehemu ya kukusanya budget ilikuhihamisha serekali
  4. Chupacabra

    Jenista Mhagama na gharama za kuhamia Dodoma

    Zita tosha mkuu, piga posho zote za wazir na dereva wake pamoja na mafuta na vitu vingine, ambavyo huwaa wanapewa kila wanaposafir kwenda kwenye vikao
  5. Chupacabra

    Upo sahihi rais wangu lakini uharaka wa nini?

    Mzururaji umetema point hatari, mimi naamini mji wa Dodoma hauna accomodation ya kupokea wizara zote na watumishi wake kwa sasa hv pili kunaswala miundo mbinu. Halafu kumbuka kuna balozi kadha wakadha ambazo nazo zina watumishi na zinahitaji maofisi huko Dodoma. Kweli swala lakuhamia Dodoma ni...
  6. Chupacabra

    Bei za Ethernet cable

    Its very cheap utapata original(industrial made) kwa urefu wa 3m kwa 7000tsh top. Kwa homemade utapata mita ni buku jero i think
  7. Chupacabra

    Sababu za mwanaume kumwangalia mwanamke kwa nyuma

    Amin usiamin kuna sababu za kisayansi angalia hapo http://www.youbeauty.com/fitness/ask-a-scientist-men-and-butts/2/
  8. Chupacabra

    Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

    Android 4.4.2 (KitKat) imeburn all other form of whatsapp so hata ukiroot hamna kitakacho saidia
  9. Chupacabra

    TANESCO na Serikali makato haya ni mzigo kwa watumiaji umeme

    Hahaha mm alogarithm ya kuoverride system iko ya luku so it's your call hekimatele
Back
Top Bottom