nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Amemsikia vizuri na mimi nimemsikia...Mleta uzi nadhani hukumuelewa Jenista vizuri.Nadhani alikuwa anaongelea budget components.Ndio akataja hiyo component ya posho.Siamini kwamba alikuwa na maana kwamba posho ndio the only source of money ya kuweza kuihamisha serikali Dodoma.Kwanza hela ya posho ni hela binafsi ya mtumishi ya kujikimu!
Hiyo ela ya 'kujikimu' si ndio itageuzwa matumizi sababu hatolipwa per diem maana atakuwa anaudhuria Bunge akiwa Dodoma...
Issue hapo ni watumishi wangapi walikuwa wanaudhuria Bunge hadi wizara iweze ku save ela za kutosha kuamisha watumishi wote (au wangapi) wa wizara?