Recent content by chunvi

  1. chunvi

    Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

    Kiukweli huyo mwanaume akapimwe akili yake tena msifikiri utani atakua kichaa kinamuanza mwanaume rijali hawezi kufanya uflauni huo
  2. chunvi

    Jeshi la Polisi na CCM, Mwenyekiti wa UVCCM ana haki gani kufanya mikutano nchi nzima ila upinzani wao majimboni tu?

    mnataka chadema mpewe nafasi ya kuweka mikutano ili muwasilimeshe raia maana mnaongea nasa na hata mkiombwa ushahidi mnalieta kaeni hivyo hivyo chama kiendelee kukita mizz
  3. chunvi

    Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Mapenzi ni uchafu kikubwa ni kumuandaa tu na kisha kifanya kumnyonya siyo vibaya mfikishe mwenza wako kileleni asahau madanga ya njee
  4. chunvi

    Katibu Mkuu Wizara mambo ya ndani jitafakari kama uko sahihi kwa kauli yako kwa viongozi wa Dini.

    Pasuwa baba maana ss hatukusoma tunaburuzwa tu waka mambo wazi na ss tupate faida
  5. chunvi

    Hivi vyoo vya kike vya baa vikoje? Ni vya juu juu kama vya kwetu au ni vya chini waweze kuchuchumaa?

    Mbona ni jambo dogo kujuwa chukuwa dira la mkeo na wigi na vipodozi paka vipodozi weka na tangi ya mdomo vaaa wigi na dera kisha nenda hadi huko unapo hitaji kifanya upekuzi kisha tuletee jibu
  6. chunvi

    Sifa za mwanamke nitakayemuoa mwaka 2018 mimi Deo Kisandu

    Unazunguka tu ww unamtaka mtt wa obama
  7. chunvi

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Hii ni hatari sana mpaka mama yake mzazi na mama mkwe noma sana
  8. chunvi

    Makambako Njombe: Polisi amtwanga risasi hadi kufariki mpenzi wake ambaye ni Mwanajeshi

    pole kwa jeshi la jwtz kwa kumpoteza mlinzi wa nchi yetu na pole kwa family ya neema kwani kiongozi wa family hiyo kuondoka kwa kulazimishwa polici wafanye harika kumpata asiji kutanguliza wengine
  9. chunvi

    NISAIDIE TATIZO HILI LA SIMU YANGU

    Kwani ulipewa hiyo sim km hukupewa rudisha dukan nadhan warti itakuwa nayo washa kuumiza akili
  10. chunvi

    Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

    Inauma sn
  11. chunvi

    Ushauri wenu muhimu

    kwa mimi sioni kama kunahaja ya kutumia nguvu sana jamaa aachane nae kwa muda atafute chombo kingie huyo mwanamke akigunduwa jamaaa kavuta demu mwingine hato kubali lazima nguvu za giza zitashindwa km unavyo fahamu wanawake huwa hawapendi kukuona na mwingine ni hayo tu
  12. chunvi

    Propaganda hizi za TBC ni za kipuuzi, za hovyo

    Mbona zipo TV za dini kama unataka mambo ya tidi fwata TV zao TBC niache mzee yakaisari mpe kaisari na mungu mpe mungu
  13. chunvi

    Hapa wapi

    Moshi mjini
Back
Top Bottom