Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Dah....haifai hata kutuhumiwa tu...[emoji41]Mwanamke akisaliti ni wakupiga chini tu hakuna mjadala.
Dah....haifai hata kutuhumiwa tu...[emoji41]Mwanamke akisaliti ni wakupiga chini tu hakuna mjadala.
Hahahaa! Sie wahenga bhana[emoji23][emoji23][emoji23] aiseee story imenichekesha balaa
DUH! wameitwa wanaume lkn ke ndo wakwanza kupost!Ndo mkome nyie hamjioni usaliti wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kusaliti ndo nini??
Km amefanywa matusi si K yake imefanywa we kinakereketa nn ss??!!!kama ukiliwa we men sawa roho itauma lakini kaliwa dem/mke achana nae sbb kikojoleo ni chake sio chako.mke sio nguo au mswaki utasema huu ni wangu tuu
Cjaitwa nlikua npita tuuu nkaona wanawake wanasemwa chaaaah akati wanaume ndo wachepukaji wakuu nani asiejuaQurie nani kakuita huku lakini? Kwani story imeandika walichepuka na mbuzi? Lengo la story ni kuelimisha sio uchambuzi wa wahusika. Eboh!
we unafaa sana kuwa rafiki yangu wa kudumu,nimeshawaacha kibaoo.Mwanamke akisaliti ni wakupiga chini tu hakuna mjadala.
Viumbe vipi unavizungumzia mkuu?Hatari mkuu!! Hawa viumbe, ni kuombeana tu
Dah....unabwaga unaamsha kwingine....akizingua unabwaga ...unaamsha kwingine....mbona wapi kibao tu[emoji41] [emoji14]Uwe na option B
Swali limeshajibiwahao wanawake wanachepuka na kina nani
Hahahaa! Utajikuta unaimaliza jamhuri yote ya muunganoDah....unabwaga unaamsha kwingine....akizingua unabwaga ...unaamsha kwingine....mbona wapi kibao tu[emoji41] [emoji14]