Kama ni mpya Rudisha dukaniSalam
Samahani wakuu....simu yangu ni mpya haina mda mrefu "samsung grand prime+"
Sasa nashangaa kila nikichaji full inaenda mpka ikifika 60% inazima.....yani kila inapofika 60% inazima kabisa nakuonesha kwamba chaji empty.......na nikiweka chaji inaanza kabisa kujaza from 0% tena bil a aibu......na inapozima haiwaki kabisaa jamn.
Tatzo ni nini nisaidieni.