Recent content by Chungumoto

  1. Chungumoto

    Nitawezaje kukata mawasiliano kwa mtu ninaye mpenda?

    kwani ukiwa ww wa kuanza kila ck mbona imekaa vzr hy! we endelea tu ck moja atabadilika
  2. Chungumoto

    Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

    ni kweli inabidi wapoze rim ht kidogo" mizinga ni noma inapoteza mood coz ukiona sms moyo paaa sijui nn leo? ukiona simu unaogopa kupokea unawaza mzinga ujao"
  3. Chungumoto

    Wanaume tuna kazi tena nzito

    vumilia ila jiwekee muda maalum ukipita haujaisoma potezea kwani kukujibu tu sms ni dalili za matokeo chanya
  4. Chungumoto

    Wanaume tuna kazi tena nzito

    kweli mzee ndio habari ya malovee hiyo" umexomeka vzr
  5. Chungumoto

    Wanawake hivi huwa mnataka nini haswa kutoka kwa wapenzi wenu?

    ni kweli hawajui watakacho wanawake! lkn pia hawaridhiki hata baadhi ya vitabu vya m/mungu vinasema kuwa tuwafanyie yote mazuri kamwe hatutawaridhisha wanawake"
  6. Chungumoto

    Kuna aina 2 za ndoa. Je, yako ni ipi?

    sawa wakatende upo vizuri xn
  7. Chungumoto

    Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    hakuna mahusiano yyte kati ya kifo na mtu kuanguka chooni/bafuni ila chooni sio sehemu safi na salama hvyo viumbe wahasio wazuri huishi humo.
  8. Chungumoto

    Laptop ya Dell unaweza kuiwekea window camera?

    hapo ishu sio window bali kitu cha kwanza ni kuangalia hy laptop yako kama ina web camera ksha unaweza kudownload cybercamera then utainstall na inaweza kufanya kazi unayoihitaji
  9. Chungumoto

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    kumbe 071 duuu watu wanatupia kote kote
  10. Chungumoto

    GE2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    hapo mia mia kwa Nape kama ni kweli ayasemayo na utekelezaji kuwa active!
  11. Chungumoto

    Tumwambie mumewe ukweli au?

    sawa bhana kaka, ishu hiyo ni ya mwajiri na mwajiriwa ss itakuwaje mumewe anataka kujua sbb, tambua kuwa hana haki ya yy kupewa sababu amuulize mkewe ndio mwenye kujua kosa alilofanya kazini kwake.
  12. Chungumoto

    Mbinu hatari za kuhakikisha uko peke yako kwa mpenzi wako Kuepuka kupangwa foleni na kutapeliwa

    hakunaga hizooo ukikaa kihasara harasa na points zako watu wanakula kwa kukupanga mafungu
  13. Chungumoto

    Mbinu hatari za kuhakikisha uko peke yako kwa mpenzi wako Kuepuka kupangwa foleni na kutapeliwa

    wanaume ni original picha na wanawake ni copy yake hapo bado kabisaaa copy ing'ae kuliko Original dunia ya wapi?
Back
Top Bottom