jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Inategmea na ulivyoji-introduce
Hivi kwa iyo izo papuchi ni biashara, inamaana gani ya kuendelea ya kuwa wapenzi !!, ninavyojua wapenzi ni tofauti na malaya wanaojiuza so nyinyi mademu zetu ni Malaya mana sasa iyo mizinga imezidi inakuwaje kama munajiuza sasa munakera sana
Wanadada punguzeni mizinga isiyo ya lazima.Mtu hamjaoana lakini hela anazoomba ni zaidi ya mke wa ndoa.Anakutajia shida lundo we kama babake.
Weaving 50,000,nguo yangu ipo kwa fundi 80,000,nimechoka simu ya batani nataka huawei y 360 180,000.Beby Weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi.
Jamani haya ni mapenzi au biashara?
minshazoea kupigwa mizinga maana hamna namna, nanahisi ntakufa maskini maana mshahara wote wanauchukua wao.
Ayayayayaaaaaa!
Na kwanini upige vizinga? Just be a woman na mwanaume anayetambua majukumu yake atatoa tu yaani walaaa hutumii nguvu, hivyo vizinga vya vocha waachi form 2.
Nilikumiss tu my manka teh
Beby Mimba Yangu Inataka Kuku Daily Na Lijuice La Azam La 3500
"Kula uliwe".
Baada ya gharama zote hizo sasa subiri na UKIMWI.