Recent content by chuma16

  1. chuma16

    Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

    Hii kitu imetokea katika shindano la kumsaka miss TIA(chuo cha uhasibu) tar 6/05 Ijumaa,Gadner akiwa ndio host wa show hiyo
  2. chuma16

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung galaxy note 3 in good condition 420k present in Dar
  3. chuma16

    AJALI: Gari imezama Kigamboni wakati wa kuvuka katika Pantoni

    Tayari mkuu na vivuko bado vinafanya kazi pia
  4. chuma16

    AJALI: Gari imezama Kigamboni wakati wa kuvuka katika Pantoni

    Gari moja limezama baharini eneo la Kivukoni lilipokuwa limeegeshwa likisubiria kivuko. Inasemekena kuwa gari hilo lilikuwa na abiria wawili wakati likizama. Hadi hivi sasa mtu mmoja (Mwanaume) amekwishapatikana kwani wakati gari linazama aliruka nje ya gari. Harakati za Waokoaji kutafuta mwili...
  5. chuma16

    Makapuku Forum

    Natafuta mchumba sifa kubwa awe kapuku
  6. chuma16

    Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

    Mkuu nimejaribu kutafuta android 5.1.1 ya s4 sijapata,msaada wapi naeza kupata file yake
  7. chuma16

    Makapuku Forum

    Hii mvua hii na mke sina mbona inanitafutia balaa
  8. chuma16

    Makapuku Forum

    Makapuku hatunyimani,tunasaidiana mpaka asubuhi tumpate kapuku wa mwisho
  9. chuma16

    Makapuku Forum

    Hii ni zaidi ya ukapuku
  10. chuma16

    Makapuku Forum

    Nakuunga mkono mkuu nasubiri hiyo maana ya jambilo niitofautishe na niliyonayo
  11. chuma16

    Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

    Chief hiyo 5.1.1 unayosema ya s4 ni official au custom rom?
  12. chuma16

    Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

    Mkuu simu hii ina kitkat ambayo nikichek setting then about hamna sehemu ya software update
  13. chuma16

    Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

    Nina samsung galaxy s4 lte-A nataka kuweka lollipop android version,ushauri jinsi ya kuweka.
  14. chuma16

    Ushauri: Nimekamatwa live na condoms, najiteteaje?

    Mkuu mwambie wewe ni wakala wa kusambaza condom
Back
Top Bottom