Wakuu kwa kweli nimeishiwa ujanja wote.
Mpenzi wangu kakuta condoms kwenye suruari yangu imekua kesi kubwa balaa.
This is second time anakuta condoms ingawa mara ya kwanza nilimshawishi kua ni za rafiki yangu alizisahau ndani ila this time kazikuta kwenye suruari imekua balaa,kawa mkali kama mbogo.
Hapa analia tu toka jana usiku,huyu binti ana wivu balaa,nimesema hadi nimeishiwa haelewi anataka nimwambie ukweli kuhusu huyo mwanamke mwngine.
Huyu binti ashawahi kukuta meseji za whatsapp kwwnye sim yangu akanywa sumu,tulifanya jitihada za ziada kuokoa maisha yake,sasa nahofu asije kurudia kufanya huo ujinga.