Chief mi yangu nime root na update vipi?mbona lolipop ni official kwa s4?
umeenda setting then about then software update?
mara nyingi ukiroot simu hupati official update, ukicheki update unapewa ujumbe gani?Chief mi yangu nime root na update vipi?
pengine ni simu ya marekani, kuna baadhi ya s4 za verizon niliwahi kuziona hazina option hio.Mkuu simu hii ina kitkat ambayo nikichek setting then about hamna sehemu ya software update
Your device has been modified software update are not availablemara nyingi ukiroot simu hupati official update, ukicheki update unapewa ujumbe gani?
yap hapo hadi uitoe hio root kwanza ndio itakubaliYour device has been modified software update are not available
mkuu hapo huna ujanja sababu wenzetu update zinatolewa na mitandao ya simu, inamaana huo mtandao hauwezi kukupa update ukiwa huku Tanzania.Ni korean s4 mkuu
S4? nafkiri s4 mwisho ni android 5.1.1 sijaona yenye 6.0 officialMi yangu ni android 5.0 nataka kuinstall androir 6.0 marshamallow mwenye idea tafadhar
official mkuuChief hiyo 5.1.1 unayosema ya s4 ni official au custom rom?
Kama umeroot hiyo tab ingia google then search lucky patcher... Huwa naitumia sana kucheat payment za app nyingi na even heavy android games... Ukichemka hiyo tumia "freedom apk" nayo ni goodWakuu, nimeinstall AVG antivirus katika tablet (android) yangu. Muda wa Trial unamalizika soon. Kuna ujanja wowote wa kupata codes kwa ajili ya kuactivate ili niendelee kufaidi hii service? Thanks
Mkuu yangu ni huawei g6-u00S4? nafkiri s4 mwisho ni android 5.1.1 sijaona yenye 6.0 official