Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

Nitajaribu mkuu halafu nitakupa mrejesho. Asante!
 
yap hapo hadi uitoe hio root kwanza ndio itakubali
Mkuu chief nineshaitoa kingroot lakini bado nikitaka ku update yanakuja maelezo yaleyale ya kuwa modified na root checker inaniambia Sorry root access is not properly installed on this device. Msaada mkuu nataka niiupdate.
 
mkuu kama umeitoa kingroot bila ku unroot kwanza basi hapo simu yako bado ina root ila tu haina app ya kuimanage hio root.

irudishe root halafu ndio ui unroot.
 
Lumia 1020 Naweza Pata Uptodate? Na Boom J5 Je? Nilijaribu Kuroot Boom J5 Imekubal Ila Vip Nikiitoa Kingroot Itakua Poa Au Ibaki?
hio tecno sahau update na hio lumia ina windows gani? inatakiwa iwe na update ya denim (windows phone 8.1)
 
nenda setting then about then software update halafu angalia kama ipo
Mkuu habari,simu yangu inaandika hivi
Screenshot_20180727-083541.jpg
 
Nina Tecno K7 nimei restore baada ya hapo inahitaji usajili ila inaniambia niingize email ya mwanzo na password ambazo mwenye simu kazisahau naweza kufanya maujanja gani hapa mkuu ukiachana na kuflash kwenye computer Chief-Mkwawa
 
Tafuta google namna ya ku bypass frp bila kutumia kompyuta.
 
Mkuu na Mimi pia nina Samsung J3 6 nimerestore ila nimeingiza email za mwanzo ikagoma kufunguka nikasajili email mpya kwa sim nyingine then nikaingiza kwenye j3 inagoma na inaandika nijaribu tena baada ya masaa 24, na kila nikijaribu baad ya masaa 24 inaandika nijaribu tena baada ya masaa 24. Naomba msaada wako
 
Back
Top Bottom