Recent content by chuma chinyonje

  1. C

    Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

    Wavivu wa kuwaandaa wanawake utawajua tu. Tafiti ya wapi hii mazee
  2. C

    Wanatia huruma Kwa kweli!

    Lakini mbona sioni republicans wakifanya mikutano baada ya Biden kushika nchi.
  3. C

    Kufukuzwa kwa akina Mdee ni dili

    Kumbuka mzee wa konyagi ni mmachame. Kila kitu kwake ni deal
  4. C

    Tetesi: Halima Mdee na wenzake kutimkia CCM na baadhi kuomba msamaha

    Wote wachumia tumbo tu, si chadema si ccm , ni wahuni wote
  5. C

    30 - 36 years old: An Official Thread

    Huu ni utafiti au ni maoni yako tu?
  6. C

    Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

    Sijui utaachaje, ila nakushauri uache mara Moja . Utanishukuru badae
  7. C

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo mmoja umeimbwa na "tembo " una verse inasema "inama nipachike rungu" ni wakipumbavu sana.
  8. C

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Huu Uzi siachi kurudi kuupitia, jinsi watu wanavyomwaga mastory ya kutafutana nakumbuka mbali na nabarikiwa sana. Mwenyezi azidi kuwaweka wote. Tuendelee kukumbukana Daima
  9. C

    Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Ndivyo tulivyoliwa kiboga na hakuna kitu tutawafanya.
  10. C

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta Lightness L Maucky a.k.a Lila Maucky . Popote ulipo upatapo ujumbe huu tutafutane nimekukumbuka sana. Huyu mtoto alikuwa na swagger za Hannah Montana, si wakulishwa ugali misumali au vipande vya mihogo. Ni bonge la mtoto wa kulishwa hot dogs and capachino
  11. C

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Nawatafuta service men wenzangu tuliokula nao msoto pale 835kj intake ya kwanza kabisa 2013 operation miaka 50 ya JKT Kwa mujibu wa Sheria .
  12. C

    Karata ya Urusi itaiimarisha kuwa Super power na kuidhoofisha USA na EU kiuchumi

    Huu muda ulioupoteza ni Bora ungekuwa unakaanga bisi
  13. C

    Msaada! Mwenye ujuzi wa kusoma picha za X-Ray.

    Piga picha vizuri, japo naona radius Ina shida M/3
Back
Top Bottom