Daah umenikumbusha last week,rafiki yangu Muhindi alifiwa na shangazi yake tukaenda kumchoma pale jikoni kwao, nyuma ya Millennium Towers, Kijitonyama
....ila Honestly lile suala inasikitisha sana, mafuta ya samli yanawaka sana...hadi kichwa kupasuka
Hivi mwanaume halisi unaweza kutajwa vile usirushe ngumu? Ommy anaongea kwa mapozi eti "huyo ni braza na namwachia Mungu".......response ya Dimpoz ina mashaka sana
Nadhani alikurupuka sana kuingia kwenye Siasa moja kwa moja,angerudi na kusoma mchezo angalau kwa miaka kadhaa, japo nadhani kuna watu walimuahidi ila wakampotezea
Askari lazima wajifunze kwamba, jamii yetu saizi au tuseme kizazi hiki kimebadilika ,wanapaswa kuwa very professional kutekeleza majukumu yao.Waache kutumia mbinu za kizamani za ubabe ubabe bila sababu, ndani ya mwezi huu,nimeona matukio mawili na hili ni la tatu,Raia akisukuma na askari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.