Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

Mahusiano mengi yanalindwa kutoka nje.

Kula mali mpya kuna raha yake bn, yanini kuwekeana sheria nikila yako nisile nyingine.

Wanawake wanatofautina sana kuna kila aina ya maumbo wanene, wembamba, warefu, wafupi, watamu, kuna wanaojua kuitenga vizuri, kuna wanaojua kukulana, kuna mwingine mwingine uki......

Hivi najibu swali au najiandikiaa tu?

Narudi ngoja niwahi biriani mahali.
 
Inaonekana una uzoefu wa kutosha eneo hili
Ukirudi njoo na faida na hasara kabla hatujachukua ushauri wako
 
Back
Top Bottom