Recent content by CHRISTURKER

  1. C

    Import

    Naomba msaada wadau. Nahitaji kusafiri na Laptop computers tano,nikitokea New york kuja Tanzania. Laptops ni kwa matumizi ya ofisi (NGO) inayofanya kazi zake jijini Mwanza. Naomba kujua kama naweza tu kusafiri nazo kwenye bag,na kama kuna import permit yoyote inatakiwa, Mambo ya kodi, ama...
  2. C

    VAT on donation in Tanzania

    Hi Team Does any one know whether there are any new changes/directives from TRA about VAT for Donations? I have just imported a container with donated items from abroad, and it is stuck in Dar port pending VAT Clearance. My last container was not charged VAT because they were donations. Is any...
  3. C

    Msaada: Nahitaji sana hii dawa Gancyclovir 1g tab

    Hiyo dawa mbona ni sawa tu na acyclovir!! au hiyo Gancyclovir inatibu ugonjwa gani?
  4. C

    Expatriate Taxes in Tz

    Can anybody advise if expatriates are required to pay taxes in Tanzania. I have no idea about this...
  5. C

    Njia ya kutuma mzigo kutoka Senegal kuja Tanzania

    Una akili sana kaka, mie nlikua Dakar last month. Huo utapeli ni mkubwa sana. Wakijua tu sio Msenegal, kaa chonjo.Huyo ndugu atalia sasa hivi
  6. C

    Nahitaji vifungashio vya vimiminika

    Asante ALAFU, Niko Dar nawatafuta hao jamaa
  7. C

    Nahitaji vifungashio vya vimiminika

    Nahitaji za ujazo wa 300mil, sina logo ila hilo no rahisi, najua wataalamu wa logo ni wengi
  8. C

    Nahitaji vifungashio vya vimiminika

    Wadau nahitaji vifungashio vya vimiminika(chupa za plastic) za kwamfano maji,juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
  9. C

    Nahitaji vifungashio vya vimiminika

    Wadau, Nahitaji vifungashio vya vimiminika (chupa za plastic) za kwamfano maji, juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
  10. C

    Lazima niende kugombea ubunge jimbo la Bahi Dodoma

    Nikupongeze tu Bw: Issa kwa dhamira uliyonayo, dhamira kwanza Mengine yatafuata. Ila kwa hakika sijafurahishwa na lugha uliyoitumia, kuna wakati watu hupimwa kwa kile wakitoacho toka kinywani mwao.Kuwaita wanachama wenzako, ndugu zako, mliochama kimoja kwamba ni vijiwatu, vinapitapita...
  11. C

    Zoezi la kuapisha wenyeviti Manispaa ya Ilala lakwama

    Huku Mwanza mwingine wa CCM kapokea kichapo baada ya wananchi kugundua siye aliyeshinda, hata hivyo police waliingilia kati na uapishwaji uliendelea huku akiwa na manundu, wananchi wameapa kumshughulikia mara atakaporudi mtaani
  12. C

    Wapi nyumba ya kuipanga- Manyanya, Studio, biafra.

    Vyumba 2 na sebule
  13. C

    My last confession CHADEMA imekosa road map

    Did you mean 'My last Confusion?
  14. C

    Amueni mtakavyoamua bungeni, tutawasubiri kwenye maoni

    Si kuna hatua ya mwisho ambayo wananchi tutaamua? Sawa, hivi sasa mko kiwanja chenu cha nyumbani, mtakuja tu kwetu wananchi, tutawaonyesha ni nini chenye tunataka. Huku hatulali, siku 90 mnazozitumia huko kwa hila, sisi tutazitumia kuwafikia wananchi
Back
Top Bottom