Recent content by Christer Lugenge

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rabininsia huduma zenu ni mbovu, boresheni

    Benaco nakuunga mkono kwa kweli hata miye nilienda mmmh huduma ni taratibu sana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waungwana wamvaa Joyce Kiria

    kwakweli huyu Joyce ni mwanamke mpumbavu sana, watu wanamatatizo kwenye ndoa zao kibao lkn wanayamaliza huko kimya kimya, wewe umejidhalilisha sana, umewaabisha wazazi wako na familia yako yote kwa ujumla, utaweka wapi sura yako hajalishi umepatana na mumeo au mmeachana, utatembeaje kwa jamii...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Siku 3 kabla ya ndoa nimemuonesha ma-ex totozi wangu kama 10 hivi.

    huo ni utwana unaotaka kumfanyia mwenza wako
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

    mmmh mbona una mianya mingi? acha utatafuta matatizo bure koz hiyo ni uimbaji wa Mungu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameziona chatting za hawala yangu mwenye HIV

    si kweli cipro kuua virus, ARV'S ndo unapewa within masaa 72 after tendo,
  6. C

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

    wapendwa acheni kubishana juu ya hizi dini zetu( uislam & ukristo) leteni mada za maendeleo ya nchi yetu Mungu hapendi kabisa haya malumbano na yeye hana ubaguzi anatupenda sisi sote
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.

    kuna mahalabnilisoma hiyo ishu wakaeleza kuwa waweza fanyiwa oparetion na kikarudi hebu fuatilia kwa wataalam sister
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu sehemu za siri

    hilo ni tatizo aende hospital
  9. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; inafaa kumpeleka mwanangu wa miaka 5 shule ya boarding?

    Mpekeke Mount Everest iko boko magengeni ni shule nzuri na inasimamiwa na masister, watoto waote wadogo wanasimamiwa na sister's wkt wa kula na masomo wapo vizuri
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanyiwa upasuaji wa 18

    Pole Lisu, pole mama Lisu, pole familia na ndugu na jamaa kwa ujumla
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wazazi,walezi na vijana Lulu ni somo kwetu

    Lulu anatia huruma jamani!!!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

    Uzuri wenyewe huwi peke yako kwenye chumba cha operation
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

    Mungu atusaidie huko tu-endako sio pazuri
  14. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uwoya kuonekana ameolewa, mume wake ajibu mapigo

    Mmmh kumbe alifunga ndoa kanisani? Mbona kachumbari?
Back
Top Bottom