Tundu Lissu afanyiwa upasuaji wa 18

Naona Chadema baada ya kupiga hela mzigo umeachiwa familia sasa.Tuliambiwa msemaji wa afya ya Lissu hatakuwa mwingine bali Mbowe sasa naona familia imeingilia kati au imetekelezwa na maharamia ya chadema !

UGUA POLE LISSU ILA TAMBUA CDM IMEKUTUMIA TU KAMA CHOMBO CHA KAMPENI ZA KISIASA NA SASA UMEBAKI NA FAMILIA YAKO....WAPIGA SELFIE WOTE WAMEONDOKA NA SASA WATAENDA KUPIGA SELFIE NA DR SHIKA.
Subir ile misururu ya magari mengi itakapo ingia kwenye mtaro na yule ngosha kioo kikamtwanga shingoni ndio utaandika pia huu upuuzi
 
Naona Chadema baada ya kupiga hela mzigo umeachiwa familia sasa.Tuliambiwa msemaji wa afya ya Lissu hatakuwa mwingine bali Mbowe sasa naona familia imeingilia kati au imetekelezwa na maharamia ya chadema !

UGUA POLE LISSU ILA TAMBUA CDM IMEKUTUMIA TU KAMA CHOMBO CHA KAMPENI ZA KISIASA NA SASA UMEBAKI NA FAMILIA YAKO....WAPIGA SELFIE WOTE WAMEONDOKA NA SASA WATAENDA KUPIGA SELFIE NA DR SHIKA.

Samahani mkuu wewe ni jingalao kweli au ni utani tu? Japo kwenye uchangiaji wako unaonyesha kama unadalili za kuwa jingalao kweli. Avatar yako Mkuu ni indication tosha ya utumbo unao changia. Nakihurumia nakukililia chama cha ccm kilicho asisiwa na watu wenye uwezo wa kuchambua na kuchangia mada kimantiki, leo eti kinatetewa na mtu wa fikra finyu kama jingalao. Jiulize mkuu umeridhika kabisa ulivyo changia kwenye hii post?
 
Kwa wenye huruma haina maana kunyoshea kidole Mtu yeyote au Chama fulani ni kuingiza Moto pasipo Sababu Watanzania wote Tunakusubiri Majibu ya uchunguzi wa Vyombo husika tuweni na maneno machache yenye Taarifa sizochanganyekeni tuwapeni Ushirikiano wanaoendelea kuchunguza matukio ya uharifu ya lioghalimu Maisha ya Watu au yaliokusudia kutoa Roho za Watu Hilo litakuwa jema sana kuliko mengine ya kuchochea kuharibu kudhania kupandikiza Chuki Ambazo ni hasara Kwetu ya badaye na MAMA yetu Tanzania
Mkuu ni akina nani hao wanaofanya uchunguzi!?
 
Kivipi ndugu yangu. Kwani umesikia imeshindikana kutibiwa?
walisema kamwe hawatamuachia lissu atibiwe na serikali hawaiamini watammalizia,sasa wamemtupa anatibiwa na serikali.
hata yale mabango ya pray for lissu na ya kutuhimiza tumchangie hatuyaoni
 
Mungu akiwa upande wako ni nani aliye juu yako? If Jesus says yes no one can say no. Get well soon dear Commander!!!
 
Kwa wenye huruma haina maana kunyoshea kidole Mtu yeyote au Chama fulani ni kuingiza Moto pasipo Sababu Watanzania wote Tunakusubiri Majibu ya uchunguzi wa Vyombo husika tuweni na maneno machache yenye Taarifa sizochanganyekeni tuwapeni Ushirikiano wanaoendelea kuchunguza matukio ya uharifu ya lioghalimu Maisha ya Watu au yaliokusudia kutoa Roho za Watu Hilo litakuwa jema sana kuliko mengine ya kuchochea kuharibu kudhania kupandikiza Chuki Ambazo ni hasara Kwetu ya badaye na MAMA yetu Tanzania
Wewe Na nani mnasubiri huo uchunguzi?! Hakuna uchunguz wala majibu waliowemgi wanafahamu fika aliyefanya haya lakn nyie mnaotumwa kuja kupima upepo hapa mnajifanya mnajitoa ufahamu...

Kawaambien Watanzania sio wapumbavu wala nn.... IPO siku tutakataa upuuz huu
 
Tz nani aaminiwe? Serikali haiaminiki, ukiwa ni pamoja na taasisi zake kama jeshi la polisi. Wanasiasa ndio kabisa sasa upasuaji wa 17 katika muda mfupi kiasi hiki, ni kweli au ni katika kuhamasisha uchangiaji wa pesa za matibabu?
 
Kama JK angekuwa ndiye rais, angekuwa ameshaenda kumjulia hali au hata kumtuma waziri wake.

Namshangaa hata Spika Ndugai hajaenda kumtembelea au hata kumtuma mwakilishi, hili linanizidishia idadi ya maswali kichwani mwangu.

Vv

Unafiki ni mwiko, hizi propoganda kuwa kateswa na watawala mara hawana imani na serikali halafu aende??? Wacha mgonjwa apumzike watu asiowaamini hawana sababu yakumuona. Asalimiwe na anaoona hawajahusika
 
Back
Top Bottom