Recent content by CHRIS CM

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!

    hamnazo kabisa.... SISIEMU hakuna jipya
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    POOR COUNTRY, POOR jk & HIS TEAM
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

    gamba lingine hili!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

    gamba lingine hili!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Chadema chuo kikuu ardhi lawamani ...

    dogo acha kuongea uongo. nakuhakikishia tege si CHADEMA hiyo ni 1 halafu kutokana na uchunguzi uliofanywa na mimi kama mwanajamii, hela iliyopotea ni Milioni 6, na haijadhibitishwa kwamba tege kaiba unless otherwise una udhibitisho wako. jambo lingine chuo kikuu ardhi hakimchagui kiongozi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje walimu wenzangu tukawafundishe wanafunzi mashuleni Uhalisia wa Ufisadi?

    We ndo unagusa somo husika, hata michezoni mwalimu wa soka awafananishe mafisadi na watu wachoyo wa pasi. yaani mpaka kieleweke, si unajua timu wapo 11 na watanzania tupo milioni 40, hivyo ukimnyima mtu pasi ni kama umemnyima haki yake ya uwanjani
  7. C

    JamiiForums Tanzania Toeni chetu kama sivyo tutakitafuta

    Mwishoni mwa karne ya 20, tanzania ilianza kuuzwa, ila wawekezaji wachache ndo waliokuwa na udhubutu wa kuinunua, hata hivyo walioweza kuinunua walichukua zile sehemu pevu nia yao ilikuwa 1. kuwahi 'productive area' kwa maslahi yao binafsi 2. kufanikisha azma yao ya kiutawala katika nyadhfa za...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wassira: Nililala kwa kuwa nilikunywa Dawa

    eti mdau kasema alihofia kupitwa na posho ya siku! ndo maana akageuza kiti cha bunge geto
  9. C

    JamiiForums Tanzania Majambazi yapora pesa mbele ya makao makuu ya jeshi la Polisi mda huu

    du! watu wamekuwa sugu! jamani hali ya maisha ngumu cku hz watu wanajitoa mhanga. wakikamatwa itakula kwao, wasipokamatwa mhnna shaka na askari wetu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mwanza,chanzo ni Wanasiasa: polisi

    ndo tatizo la watu hasa wale wavivu wa kufikiria. wana(Copy) na Ku(Paste)
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    kushangiliwa ni ile dawa aliyochukua nigeria
  12. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    hizo hela zao ama za wananchi tena walalahoi! bado watawamaliza
  13. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    hana lolte zaidi ya kusifia serikali ili isimharibie
  14. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    uchumi wa nani? wa matajiri ama wakulima?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    yap, ila pongezi nyingi mno, na kujigamba na asilimia kubwa ya kura alizopata. tusubiri kama ataongelea ufisadi
Back
Top Bottom