Mnaonaje walimu wenzangu tukawafundishe wanafunzi mashuleni Uhalisia wa Ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaonaje walimu wenzangu tukawafundishe wanafunzi mashuleni Uhalisia wa Ufisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Laurence, Jul 7, 2011.

 1. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nikiwa kama mfano wa mwalimu ninaefundisha somo la Civics shuleni je ni sahihi nikitumia Topics mbalimbali ku relate Topic zangu kwa kuwapatia wanafunzi mifano mbalimbali juu ya ufisadi unaofanywa na wana CCM? Tujadili wana Jf kwa pamoja.
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Itakuwa poa sana mkuu!walimu mna mchango mkubwa sana kuelekea mabadiliko na uhuru wa kweli wa taifa hili ikiwa mtawafundisha wanafunzi kwa kutumia mifano halisi .Na hapo ndipo namkumbuka mwl wangu wa civics o'level,ninamshukuru sana,amenisaidia sana kupambanua na kujenga hoja za msingi kwa maslahi ya taifa langu!
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwani utakuwa wa kwanza? Sisi wenzio tumeshafundisha watu na mwaka jana walishiriki kwa nguvu ku exercise haki yao ya kidemokrasia. U cant avoid it
   
 4. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi mpaka leo hii nafundisha somo la fasihi-kiingereza wanafunzi wamenipa jina wananiita kiboko ya mafisadi!na hii ni kwa sababu vitu ninavyozungumzia ni vya mustakabali wa taifa letu mambo kama ufisadi nayapinga kwa nguvu zote!
   
 5. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Poa kaka ucjali mbona 2015 ntakua nime create watu kibao sana,pa1 mkuu
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mbona watanifurahia wanafunzi!
   
 7. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wanafunzi wanamwangalia mwalimu pamoja na anachowapa kama sehemu ya mtaala kama kiongozi wa kukabiliana na Mazingira yao. Hapo ndipo unapoingia kwa kuwa na uhalisia katika unachowafundisha. Katika uhalisia huo hutaweza kuepuka ukweli wa hali yetu na matatizo tuliyonayo ambayo kwa uwazi kabisa yanasababishwa na watawala waliopata dhamana kupitia CCM. Mwalimu wangu wa SIASA ni Mbunge na ninafurahia anavyoyaishi kwa vitendo yale aliyotufundisha kwanzia katiba, chama/vyama vya siasa...utopia na mawazo ya "great thinkers" katika kuleta maendeleo ya jamii zao na mengine mengi. Kwa kifupi mwalimu anatakiwa afundishe mambo kulingana na wakati aliopo. Nakutakia kazi njema yenye mafanikio. Tengeneza wazelendo kwa faida ya nchi yetu.
   
 8. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,971
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  khaa! We hujaanza si tunawambia ubaya wa CCM wazi kabisa na hali halisi si wanaona hamna vitabu hamna vifaa vya sayansi yani nikipata kaupenyo nawapa fact na hii itatusaidia kuikomboa nchi na pia tuwahimize wajiandikishe na wapige kura pamoja na kuelimisha wazazi wao waachane na CCM na sisi walimu ndo tuna uwezo wa kujenga jamii tuitakayo sababu ndo tunatoa elimu na tuna influence kubwa kwa jamii hebu tuchukue hatua mchango wetu ni mkubwa na unahitajika
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Start it as soon as yesterday. Play your part. Hata kama ni Maths e.g. LINEAR PROG unasema CCM hawawezi ku-minimize matumizi. Biology, CCM ni nyoka mwenye sumu hata kama ata MOULT
   
 10. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi nimeanza,maana topic za history advance kwa sasa zinaniruhusu kuyazungumzia haya kwa selabasi hii mpya......so huwa nawaeleza wanafunz wangu conteporary issues kwa undani......pia kwenye kiswahili katika fasihi andish
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sawa mkuu namna ya ku manage muda linaeleweka vizuri so lazima nikawaeleze uhalisia wa mambo wanafunz,thanx
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Cjaanza bro juzi ndio nimemaliza hapa Udom tunasubiria watupangie tukawaeleza ukweli wa mambo
   
 14. C

  CHRIS CM Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We ndo unagusa somo husika, hata michezoni mwalimu wa soka awafananishe mafisadi na watu wachoyo wa pasi. yaani mpaka kieleweke, si unajua timu wapo 11 na watanzania tupo milioni 40, hivyo ukimnyima mtu pasi ni kama umemnyima haki yake ya uwanjani
   
 15. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ofkozi nilipokuwa mwalimu zamu kwa miaka miwili na nusu nimepiga sana hii kitu kwenye geography na history a-level hata nilipokuwa zamu settings zilikuwa kibao nalitafuta sana liknks na kupiga sana madude!!!!!!!!!!!
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Goood idea,nami naendelea kuwapa watoto contemporary issues,kwenye HISTORY ADVANCE
   
Loading...