Vurugu za Mwanza,chanzo ni Wanasiasa: polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za Mwanza,chanzo ni Wanasiasa: polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 6, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kamanda wa polisi mkoani mwanza amesema kuwa vurugu zilizotokea jijin mwanza ni zao la wanasiasa ambao wamekuwa wakiwashawishi wamachinga wasihame
  Sosi:timez fm habari
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,050
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Polisi ni kwamba wamekubali kutumikishwa na CCM kulinda maslah ya chama.
   
 3. B

  Basically Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: May 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Siku hizi bana.....!!!..hata vurugu za nyumbani utaambwiwa chanzo ni wanasiasa/chama cha siasa.!!!!...wanaacha kutafuta chanzo wajue njia ya kutatua tatizo wanakimbilia kusema wanasiasa ndio wachochezi...!!!!...
   
 4. C

  CHRIS CM Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndo tatizo la watu hasa wale wavivu wa kufikiria. wana(Copy) na Ku(Paste)
   
 5. A

  Alexander Chami Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini hapo nyuma wanasiasa hawakuwashauri machinga walete vurugu? Huyu Siro vipi? yeye akae na machinga wasikilizane aache porojo
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Leo asbui pia KANDORO ALIHOJIWA NA MAGIC FM KWENYE KIPINDI CHAO CHA MORNING MAGIC AMESEMA HIVOHIVO KASEMA ANA USHAHID KUWA WANASIASA NDIO CHANZO
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hawana adabu basi wawapeleke mahakamani kama wana ushahidi
   
Loading...