Toeni chetu kama sivyo tutakitafuta

Toeni chetu kama sivyo tutakitafuta

CHRIS CM

Member
Joined
Jun 12, 2011
Posts
22
Reaction score
3
Mwishoni mwa karne ya 20, tanzania ilianza kuuzwa, ila wawekezaji wachache ndo waliokuwa na udhubutu wa kuinunua, hata hivyo walioweza kuinunua walichukua zile sehemu pevu nia yao ilikuwa
1. kuwahi 'productive area' kwa maslahi yao binafsi
2. kufanikisha azma yao ya kiutawala katika nyadhfa za uchumi siasa na mabavu
3. kudhoofisha watz wengi wenye lengo la kufikia walipo
4. kuwapa wakati mgumu wale wanaojidai 'wazalendo' au 'wajamaa' kwa kuwanunulia madaraka ili kuwanyamazisha
5. nk
mwanzoni mwa karne ya ishirini wakaongezeka, baada ya kuona waliofanikisha mipango hiyo hawakuguswa, imefikia wakati hata wanasheria wetu wametiwa mtegoni kujua namna ya kuanza kuwagusa, wanatupiana mpira. kama wakishindwa kuchukua hatua kwa fisi, je simba watawaweza?
eti kama kuna ushahidi tukuletee ili uanze mchakato wa kuufanyia kazi.
ambao hatujanunuliwa, wala hatuna chochote tunachotegemea kwao, twaweza kutoa hukumu badala. hukumu hii sio ya kupanda kizimbani.
chondechonde watanzania tuamke tudai sehemu yetu ya mapato yaliyotokana na mauzo ya nchi. ili kila mtu apate usawa wake
 
Back
Top Bottom