Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

Mkuu kama nikurudisha wangerudisha mda mrefu sana lakini kwa ajili ya kubebana na udhaifu wa jk haiwezi kurudi,

Sio vibaya jamaa wakiendelea kufarijiana. Haya ndio mambo ambayo huwa ccm wanazungumza kwenye "vikao vyao vya ndani", sasa naona wametushirikisha. Inaonyesha jinsi walivyo mbali na ukweli na uhalisia wa mambo.
 
CCM itajirekebisha baada ya kukaa bench lakini si sasa ambapo wanabebana na kuogopana.CCM KWISHNEY !!!!!!
 
Kila jambo linafuata mchakato:
EPA kesi zinaendelea Kisutu
Richmond kesi zinaendelea Kisutu pia Lowasa na kundi lake wamejitoa serikalini
Meremeta na Kagoda uchunguzi unaendelea upo katika hatua za mwisho
Jairo katupwa nje ya mfumo

Kagoda?
 
Niombe radhi; CCM ina serikali sikivu, makini inayotoa maamuzi kutokana na matakwa ya wananchi, hivyo kupitia wabunge leo utasikia maamuzi magumu yamefikiwa katika serikali ya JK
Si mzima wewe, upimwe
 
Niombe radhi; CCM ina serikali sikivu, makini inayotoa maamuzi kutokana na matakwa ya wananchi, hivyo kupitia wabunge leo utasikia maamuzi magumu yamefikiwa katika serikali ya JK

Hatuhitaji usikivu wa kukosea kwanza ili ujisahihishe tunahitaji usikivu wa matakwa yetu kwa wakati husika!. Kama ni uongozi wa kukosea kwanza na kujisahihisha baadae umepitwa na wakati na hautufai tena. Uongozi sio shule kwamba unaenda kujifunza.
 
Kila jambo linafuata mchakato:
EPA kesi zinaendelea Kisutu
Richmond kesi zinaendelea Kisutu pia Lowasa na kundi lake wamejitoa serikalini
Meremeta na Kagoda uchunguzi unaendelea upo katika hatua za mwisho
Jairo katupwa nje ya mfumo

MH.MAFILILI Umewahi kukaa ukajiuliza ni wabunge wangapi wa CCM wamingia Bungeni kwa njia za Wizi, Rushwa & Udanganyifu? Ukatumia walau saa moja tu utagundua kuwa hata wanachokisema Bungeni kina misingi ya njia walizotumia kuingia humo. THINK! Usiamini bila kutafakari.
 
Back
Top Bottom