Nafikir mim pia ni Travelholic juz kat disemba nimepiga route ambayo nafikir sitasafir for four months yan sina ham! Nlitoka Dar to kigoma via dom, manyoni tabora then kasulu nikala pozi mjin kasulu then nikaanza kuitafuta mwanza kupitia kakonko, kibondo, nyakanazi, geita then mwanza duh...
Mi siyo mjuvi sana ila nakumbuka kuna kitu kinaitwa hibernation ambacho wanyama/ndege huweza kupitia... Mfano vyura wengi kipind cha kiangaz hujificha chin ya ardhi kabisa, ko unaweza jiuliza katika kipindi hicho wanakula nin?! Ninachojua katika kipind hiki hupunguza rate of metabolism kias...
I was luck, wakat naenda kuripot form five mzee alinisindikiza na gari ya ofisin kwake (STK) ile kufika tu shule sa 11 jion nikakuta wajomba wako parade basi nikasushwa pale kila mtu akaniona, ile STK ikamchanganya jamaa m1 akanipokea akanipeleka bweni moja la'kisure sana tulikua tunaliita UN...
Natumai kuna namna azam atakua anapambana kupata leseni ya kurusha izo local contents 'nawaza kwa saut'! Et nae startimes amepandisha bei visimbus vyake, my friend i'll better buy dstv
Nimekuwepo sehem zote, Mbeya is the best, mji uko busy na kumechangamka ingawa ni kweli kuna baadh ya maeneo mpangilio wa makaz siyo mazur ila tanga inabebwa na uwepo wa bahar tu unless hamna kitu
Mkuu naomba ongeza nyama kwe hiyo miale ya carbonhydrate sijawah kuisikia, na benki kuu mbeya kuna katazo la kupiga picha, vip nao watakua wanahofia hii miale??
Umenikumbusha enz za ujana kuna jamaa ang kila tukirud kutoka kiwanja ata kama ni saa tisa usiku lazima aingie jikon kutoa kitu [emoji28]! Sa sijui ndo pombe au
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.