AliExpress, Alibaba or eBay etc.

AliExpress, Alibaba or eBay etc.

siku kumi tuu boss
dah umewahi sana, naskilizia mzigo wangu na mimi
Capture.PNG
 
Jamani kwa aliyewahi kutumia kikuu.
Ndo Mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo.
Walinambia nijaze ninapopatikana na number za cm ...
Ni free shipping sasa Sijajua. Je wataniletea mpaka nilipo au ndo ntaenda kuchukua kwa wakala.
Na pia Hakuna sehemu nilojaza sanduku la posta. Je ntaupataje msaada Tafadhali..
Ila ninautrack ulipo tokea unatoka
 
Pm yako hai respond mkuu
unategemea na liseller hakufikishie wapi mfano DHL,tanzania posta hiyo kama kupitia sanduku lako laposta njia ya mizigo na mawakala ambao wapo katika nchi aliyopo huyo muuzaji na nchi yako,ukitaka kujua mengi pm
 
Wadau,Hivi unaweza kununu bidhaa mtandaoni bila ya kuwa na smartcard wala account ebay?
 
Hii ikoje mkuu,nieleweshwe zaidi
Vodacom kwa ushirikiano na MasterCard® na BancABC imekuletea kadi ya kwanza na ya pekee nchini Tanzania ambayo inakuwezesha kununua bidhaa na huduma kutoka kwa wafanyabiashara duniani kote kupitia M-Pesa. M-Pesa Mastercard inakuwezesha kulipa huduma, bidhaa, Programu, hoteli ya hoteli au kusafiri, maudhui ya digital nk kutoka kwa wauzaji wa mtandaoni ulimwenguni pote ambao wanakubali malipo kutoka kwa Mastercard.
How To Pay By M-Pesa Mastercard
Baada ya kufanya uchaguzi wa bidhaa unayotaka kutoka kwenye tovuti fulani mtandaoni, pitia kupitia na chaguo chaguo la malipo ya Mastercard, ili kufanya malipo yako kufuata hatua zifuatazo: -

Piga * 150 * 00 # Chagua Kulipa kwa M-Pesa
Chagua M-Pesa Mastercard
Chagua Kuunda kadi
Utapokea SMS na namba yako ya kadi na CVV pamoja na tarehe ya kumalizika kwa kadi yako.
Hiyo ni habari zote utakayohitajika kukamilisha malipo yako mtandaoni. Jaza kwa makini maelezo yako kwenye tovuti fulani. Utapata ujumbe wa kuthibitisha kwamba malipo yako yamefanikiwa.
kwa maelezo zaidi https://vodacom.co.tz/en/mpesa_mastercard_payment
 
Vodacom kwa ushirikiano na MasterCard na BancABC imekuletea kadi ya kwanza na ya pekee nchini Tanzania ambayo inakuwezesha kununua bidhaa na huduma kutoka kwa wafanyabiashara duniani kote kupitia M-Pesa. M-Pesa Mastercard inakuwezesha kulipa huduma, bidhaa, Programu, hoteli ya hoteli au kusafiri, maudhui ya digital nk kutoka kwa wauzaji wa mtandaoni ulimwenguni pote ambao wanakubali malipo kutoka kwa Mastercard.
How To Pay By M-Pesa Mastercard
Baada ya kufanya uchaguzi wa bidhaa unayotaka kutoka kwenye tovuti fulani mtandaoni, pitia kupitia na chaguo chaguo la malipo ya Mastercard, ili kufanya malipo yako kufuata hatua zifuatazo: -

Piga * 150 * 00 # Chagua Kulipa kwa M-Pesa
Chagua M-Pesa Mastercard
Chagua Kuunda kadi
Utapokea SMS na namba yako ya kadi na CVV pamoja na tarehe ya kumalizika kwa kadi yako.
Hiyo ni habari zote utakayohitajika kukamilisha malipo yako mtandaoni. Jaza kwa makini maelezo yako kwenye tovuti fulani. Utapata ujumbe wa kuthibitisha kwamba malipo yako yamefanikiwa.
kwa maelezo zaidi https://vodacom.co.tz/en/mpesa_mastercard_payment
Nashukuru sana mkuu,Jf udumu zaid
 
Back
Top Bottom