Msaada: Mke wangu amekuwa chizi baada ya kutumia PEP

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
3,643
Reaction score
8,727
Habari za asubuhi ndugu zanguni? leo siku ya pili sijalala ni purukushani mtindo mmoja.
Hipo hivi wife ni muhudumu wa afya sasa juzi kwa bahati mbaya akaji choma na sindano ya mtu alipata maambukizo ya virusi vya HIV.Ikabidi apewe dawa PEP kuzuia maambukiza kwake, alianza jioni kutumia hizi dawa' baada ya masaa 4 balaa likaanza nikapigiwa simu kuwa wife ameweuka anakimbia ovyo barabarani anaropoka kila kitu hadi siri zetu za ndani..ikabidi wamkamate wampeleke hospital wakamchoma valium , nilivyotoka job nikapitia hospital moja kwa moja mpka kwa daktari nimeongea bna daktari amesema hiyo ni kawaida kwa ARV hizo ni side effects zake akiamka atakuwa yupo poa.Baadae akaamka yaani ndio balaa likapamba moto fujo, matusi anaropoka vya ndani hadi aibu.
leo siku ya pili bado hali yake ipo hivyo hivyo hakuna mabadiliko yoyote...kibaya zaidi ana mtoto wa miezi 5
NB:kwao hakuna history ya magonjwa ya akili.
Naombeni msaada kwa ili maana nimechanganyikiwa hapa
@skyeclat Deception Suriya na wengineo
 
Pole mkuu,, but kwa uelewa wangu mdogo nadhani ni kutokana na shock aliyoipata baada ya kuji priki,, ila nadhani itakua ya muda mfupi atakaa Sawa, kikubwa mvumilie na atumie dawa hali ikizidi mpeleke hospitali akaonane na wataalamu wa Afya ya akili nadhani atapatiwa msaada zaidi
 
Habari za asubuhi ndugu zanguni? leo siku ya pili sijalala ni purukushani mtindo mmoja.
Hipo hivi wife ni muhudumu wa afya sasa juzi kwa bahati mbaya akaji choma na sindano ya mtu alipata maambukizo ya virusi vya HIV.Ikabidi apewe dawa PEP kuzuia maambukiza kwake, alianza jioni kutumia hizi dawa' baada ya masaa 4 balaa likaanza nikapigiwa simu kuwa wife ameweuka anakimbia ovyo barabarani anaropoka kila kitu hadi siri zetu za ndani..ikabidi wamkamate wampeleke hospital wakamchoma valium , nilivyotoka job nikapitia hospital moja kwa moja mpka kwa daktari nimeongea bna daktari amesema hiyo ni kawaida kwa ARV hizo ni side effects zake akiamka atakuwa yupo poa.Baadae akaamka yaani ndio balaa likapamba moto fujo, matusi anaropoka vya ndani hadi aibu.
leo siku ya pili bado hali yake ipo hivyo hivyo hakuna mabadiliko yoyote...kibaya zaidi ana mtoto wa miezi 5
NB:kwao hakuna history ya magonjwa ya akili.
Naombeni msaada kwa ili maana nimechanganyikiwa hapa
@skyeclat Deception Suriya na wengineo
Mkuu kama una amini katika maombi fanya haraka kumpeleka huko huku unasubiri msaada wa pili wa madaktari.

Hiyo kesi naielewa sana, practice maombi kwanza.
 
kama walimpa PEP ya 1g wajaribu kumbadilishia wampe 1r huenda efavirenz ndo inaleta madudu hayo?
 
Mkuu kama una amini katika maombi fanya haraka kumpeleka huko huku unasubiri msaada wa pili wa madaktari.

Hiyo kesi naielewa sana, practice maombi kwanza.
huu ni ujinga,badala ya kushauri walau atafutiwe psychologist unashauri apelekwe kwa matapeli wenzio,umeona hayo ni mapepo au ni psychological case??acha uzwazwa,
 
Huyo amepata shock kutokana na hofu aliyonayo juu ya HIV.Unajua jinsi uwazavyo ikitokea ukapata tension or stress kidogo kiuhalisia lazima ufyetuke.Halafu huyo ni nurse lakini inaonyesha akili,upeo uelewa wake kuhusu huu ugonjwa jinsi ulivyokuwa.Pengine alikuwa anawanyanyapaa hata hao wagonjwa kwa mawazo tu,Sasa kuja kuwaza naye anaupata ndio amepata mshtuko.Atakaa sawa.Hata humu jukwaani utaona comments nyingi zitolewazo kuhusu waathirika ni za kinyanyapaa(ukisoma uzi za huu ugonjwa utathibitisha Hilo).Mtu mwenye mentality hiyo ikitokea kivyovyote apate ama ahisi Ana huu ugonjwa,nakuhakikishia lazima achizi.
 
Back
Top Bottom