Tcra Tunahitaji Local Channels kwa Gharama Yeyote

Tcra Tunahitaji Local Channels kwa Gharama Yeyote

Siku hizi habari ni mtandaoni tu. TV zimebaki kuangalia katuni tu watoto
 
Natumai kuna namna azam atakua anapambana kupata leseni ya kurusha izo local contents 'nawaza kwa saut'! Et nae startimes amepandisha bei visimbus vyake, my friend i'll better buy dstv
 
Tulikuwa na kila sababu kuhakikisha tunachagua watu watakaokuwa na nia njema kwa watanzania hakika miaka mitano itatosha kuona Kama mapenzi yetu yatatimia hapo ndipo kwa nguvu Ile Ile tuliyoitumia kuwapigania watesi wetu itatumika kurekebisha kwani walikuwa wapole kwa kiwango cha kutupigia magoti lkn leo wanataka tuwapigie wao anaonesha dharau dhahili,wababe wao, wakatili, haki zote wamefyekelea mbali.ok yetu macho sijui watakuja na gear gani?
 
Zitarudi pale ambapo tutakaribia kupiga kura. Sasa hivi hawaoni umuhimu maana watanzania wengi hawaoni local channels. Zaidi ya wenye bundles za simu lakini wakitaka kutafuta wapiga kura wataziachia tuu
 
Nina miez miwili siangalii tv cjalipia azam maana hata sioni cha kuangalia huko
 
Nadhani nia yao ni kupunguza wigo wa watu kupata habari,na mkizipata mzipate zile wanazopenda wao.
 
Hii nchi watu wanacomplicate vitu sana unamzuia Azam kurusha taarifa ya habari wakati huohuo unamruhusu kurusha mechi live.
Vipi cha muhimu mechi au taarifa ya habari?
 
Mwenyewe imenilazim nitumie madishi mawili sikupenda ila sina jinzi mm nadhani azam wangeonyesha tuu hizo chaneli zabure yaishe mm naamini watu watalipia tuu maana wengi tumaoenda kuangalia mpira pia wengine wanapenda kuangalia move vyovyote vile wange patahela kuliko hii azabu ya madish mawili mawili
IMG_20181120_112038.jpeg
 
Back
Top Bottom