Recent content by chozi 14

  1. C

    Mashine ya juice ya miwa ya kukodisha inahitajika

    Bila shaka nitakua nimeleweka. Shukrani
  2. C

    Mashine ya juice ya miwa ya kukodisha inahitajika

    Habari zenu wadau. Ninaomba mtu awbaye anamashine ya kukamua juice miwa, Tuwasiliane tufanye kazi, Ama kwa yeyote mwenye office mahali, na anauhitaji usimamizi wa kazi kwa makubaliano ya MALIPO , Tafadhalii naomba Tuwasiliane Tufanye kazi , Jiji Dar. Temeke, kinondoni, Ubungo, ilala nk...
  3. C

    Kwani Hayati Lowassa ni Mmeru au Mmasai?

    Hii imeeleweka zaidi. Na ni Kweli . Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  4. C

    Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Naongeza jambo. Zile rim wanazopelekagga shule ziwe zinatumika kuchapisha notes kupunguza mzigi kwa wanfunzi na walimu kuandikaa, kuchafuka na ,na kichapana chapana na kukosa muda sababu ya notes . Chapisha topic , gawa Kwa wanfunzi, fundisha . Watunzaji , na wanafunzi makini ndio watakao okoka...
  5. C

    Chanika panahitaji watu mashuhuri uswahili upungue

    Nafikiri Kuna baadhi ya vitu vinaweza kupungua , Kama mipango miji, wanawwza kufanya kazi . Kuwe na utaratibu mzuri wa kupimwa Kwa maeneo. (Wajifunze kupitia ramani ya mjerumani , Kwa jiji la Tanga ). Nyumba Kwa nyumba, Uelekeo wa nyumba , bara bara , maeneo ya wazi nk. #SIO MTU ANAAMKA NA...
  6. C

    Natafuta kijana wa kuuza chipsi

    Amepatikana? Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  7. C

    Natafuta Mshirika wa Biashara ya Chips Tabata Kinyerezi

    Mkuu amepatikana mtu? Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  8. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawaa mkuu, inbox yangu ipo wazi. If your interested. Karibu tuongee. Hapa Mimi sio mjuaji , Wala siwezi kubeza na kubishana na watu. Ila sababu najua hapa naweza kupata ma risk taker. I can share vile Mimi naona , ukiweza kuwa na laki moja mpaka laki na nusu. Kamwe huwezi Rudi kwenye Mpira...
  9. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawaa kiongozi nimekupata. Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  10. C

    Tanzania sio nchi ya mpira tunalazimisha tu

    Mkuu . Duniani hakuna kocha ambaye hapendi mchezaji anayeweza kutoa nguvu zote na jasho kupambania team. Gadiel Michael Mbaga. Ni mja wa Aina hiyo ya wachezaji. Juhudi zake ndizo zimemfikisha pale. Anaupenda Mpira balaa, na ni mpambanaji. Ni mchezaji wa kumtafsiri. (Hard work beat talent)...
  11. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba tuongee mkuu . Very serious. Nakuomba . Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  12. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aviator hapana . Code yake haisomeki . Sporty hero. Ni best . Namaanisha very predictable. Narudia Tena . MTAJI MTAJI MTAJI NI SILAHA. NJOO INBOX MKUU NAWEZA KU SHARE JAMBO NA WEWE . Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  13. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu. Naomba tag for me. Hao watu . Nakuomba tafadhali.. Nahitaji kuongea nao , serious aisee. Ni Risk takers,Ambao they can stake higher . Nahitaji kushare nao jambo. (Watapata hela wao , Ila namimi wakiniamini nitakua Kama wao). Kuna mahali , Kuna codes nimezinasa , Codes nimezinasa ...
  14. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji16] mkuu . Trade ya sportyhero Haina code za kutoa mikeka. (Ni cash in /cash out - auto or Manual na dole gumba lako. Codes ni darasa la sign za ku stake boom. Kwa ambaye amecheza anaweza kuelewa Nini Namaanisha . If 100 /10000 (P balance) ,naweza make to 15k Kwa masaa 6 .( Hii ndio...
  15. C

    Tanzania sio nchi ya mpira tunalazimisha tu

    Vipaji vipo vingi Sana. Tatizo ni uwekezaji na Miundombinu ya kukuza vipaji vilivyopo. Na sifa ya vipaji vya watoto wa Tanzania, Wanafurahia na kupenda vipaji vyao. 1.Uwekezaji 2.Miundombinu.(Elimu ya Mpira ). 3.Mifumo (Ujomba,ushangazi, mwingi Sana nawengi unaona waona wapo katika mifumo...
Back
Top Bottom