Kwani Hayati Lowassa ni Mmeru au Mmasai?

Ukweli uko hivi.
Mila za kimasai huwa hazikatai watoto wanaozaliwa nje ya umasai na kuletwa umasaini, kwanini? Siri ya mimba imefichwa na mama, yeye ndio anajua (na wakati mwingine asijue) ni mwanaume gani alimpa hiyo mimba, hivyo mtoto hana kosa na jamii ya kimasai itapokea watoto wote.

Sasa kisa cha Lowassa kiko hivi, mama yake mzazi (sijui ni mmeru au mmasai) aliolewa na Mmeru na Lowassa akazaliwa, akiwa bado mdogo sana baba yake mzazi akafariki na mama yake mzazi akaolewa na Mmasai (Ngoyai) hivyo mzee Ngoyai akachukua mke na mtoto. Na mtoto (Lowassa) kimila akaingizwa kuwa sehemu ya wamasai. Na kuanzia hapo akawa ni mmasai sawa sawa na wamasai wengine wote, ni kitendo chochote cha kuhoji umasai wake, kimasai huko ni kukufuru.
 
Nani amekuambia kuwa hakn wameru wafugaji unaumwa wew
We ndio inaumwa, inajua Meru ni wapi, wanafugia wapi? Au unazungumzia vile vile ving'ombe viwili vya kufungwa nyumbani? We bwege kweli. Kwanza ujue wameru ni miongoni mwa makabila madogo, kabila lisilokuwa na hata na eneo la kiutawala kiwango cha wilaya. Eneo lao limeanzia mto Nduruma mpaka King'ori na bado kuna kuna makabils mengine humo. Wanafugia wapi, wapo pembezoni mwa mlima Meru, hawana hata ardhi ya maana zaidi ya miteremko. We ni km ng'ombe ya masai huna unalojua.
 
Ukweli uko hivi.
Mila za kimasai huwa hazikatai watoto wanaozaliwa nje ya umasai na kuletwa umasaini, kwanini? Siri ya mimba imefichwa na mama, yeye ndio anajua (na wakati mwingine asijue) ni mwanaume gani alimpa hiyo mimba, hivyo mtoto hana kosa na jamii ya kimasai itapokea watoto wote.

Sasa kisa cha Lowassa kiko hivi, mama yake mzazi (sijui ni mmeru au mmasai) aliolewa na Mmeru na Lowassa akazaliwa, akiwa bado mdogo sana baba yake mzazi akafariki na mama yake mzazi akaolewa na Mmasai (Ngoyai) hivyo mzee Ngoyai akachukua mke na mtoto. Na mtoto (Lowassa) kimila akaingizwa kuwa sehemu ya wamasai. Na kuanzia hapo akawa ni mmasai sawa sawa na wamasai wengine wote, ni kitendo chochote cha kuhoji umasai wake, kimasai huko ni kukufuru.

Ni kweli , kwa mfano mila za huko unataka kuwa na mwanamke ambaye anamtoto mdogo, yule mtoto atapokelewa na jina atabadilishwa la ubini
Kwa mfano alikuwa anaitwa Sebastian Magufuli
Tukimpokea atakuwa Sebastian Msaki…… hilo jina litasoma hadi kwenye vyeti

Ipo ivo. Mtoto kwetu ni Asset , hayo mengine baake nani mtabaki nayo wazaramo
Akishatiwa pin kwenye ubini automatically hata huyo babake mzazi kwenye benefit will never appear. Baba wa kweli akiambiwaa alete cheti cha kuzaliwa kupata benefit za mtoto , baba mzaz hatoboi
Nitapeleka mm baba mlezi ndio mwanangu
Kama mm ni Ndesaruo Msaki

Mtoto atakuwa Sebastian Ndesaruo Msaki

Baba mzazi hatoboi
 
Hatutapata Mwanasiasa Mtulivu kama Edward

Kapigwa madongo na katukanwa sana na watu wa pande zote za Siasa lakini alisalia kimya akipiga Siasa zake kimya kimya kwa mikakati na kudumisha umaarufu wake pamoja na kashfa zote zilizomuandama

Akina Lissu na Zitto wajifunze …Siasa sio uwezo wa kuongea tu
Ule ukimya ulikuwa unatisha. Nadhani hata wabaya wake walikuwa wanashindwa wafanyeje na kubakia kwenye hofu... ogopa mtu mnamrushia kila neno halafu kakausha zake. Hapa JF nyuzi karibu zote za siasa zilikuwa kuhusu EL
 
kule umasaini kuna wamasai wameoa waswahili ila sijawahi kuona mswahili kaoa mmasai, japo wanawake wa kimasai huwa na wapenzi wa kiswahili ila linapokuja suala la kuoa itakuwa shughuli pevu kukubaliwa na jamii hiyo
Waliohamia Arusha wakati wa Ukoloni wa Kijerumani wakiwemo Wazungu walikuwa na wake wa Kimaasai hivyo wenyeji wa kata za Kati,Makao , Ngarenaro, Unga, Muriet na Sinon wana damu ya Kimaasai.
Siku hizi ni ngumu.
 
Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja

Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake

Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system

Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa

Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
lowasa sio mmasai ni mmeru
 
Ukweli uko hivi.
Mila za kimasai huwa hazikatai watoto wanaozaliwa nje ya umasai na kuletwa umasaini, kwanini? Siri ya mimba imefichwa na mama, yeye ndio anajua (na wakati mwingine asijue) ni mwanaume gani alimpa hiyo mimba, hivyo mtoto hana kosa na jamii ya kimasai itapokea watoto wote.

Sasa kisa cha Lowassa kiko hivi, mama yake mzazi (sijui ni mmeru au mmasai) aliolewa na Mmeru na Lowassa akazaliwa, akiwa bado mdogo sana baba yake mzazi akafariki na mama yake mzazi akaolewa na Mmasai (Ngoyai) hivyo mzee Ngoyai akachukua mke na mtoto. Na mtoto (Lowassa) kimila akaingizwa kuwa sehemu ya wamasai. Na kuanzia hapo akawa ni mmasai sawa sawa na wamasai wengine wote, ni kitendo chochote cha kuhoji umasai wake, kimasai huko ni kukufuru.
Sijakufuru mkuu mm namkubali tu mzee huyu vituko alivyo fanyiwa siyo poa
 
Asante Sana Dr. Tatizo mawaziri wa sasa hubadirika baada ya muda mfupi sana. Enzi zetu Wassira anakaa mpaka mnachukia. Ila Mimi ni zee lililoshiba na si limtoto la juzi kama unavyonifikiria.
Basi samahani mzee ila nashungwazwa sna kuto kujuwa kuwa Jeremiah sumari amepata kuwa waziri wa fedha
 
Hatutapata Mwanasiasa Mtulivu kama Edward

Kapigwa madongo na katukanwa sana na watu wa pande zote za Siasa lakini alisalia kimya akipiga Siasa zake kimya kimya kwa mikakati na kudumisha umaarufu wake pamoja na kashfa zote zilizomuandama

Akina Lissu na Zitto wajifunze …Siasa sio uwezo wa kuongea tu
Miradi waliyokuwa wanafanya yeye na JK ilikuwa ni ya maana mno kwa nchi yetu, zikiwemo shule za Kata. Uwezekano mkubwa ni kwamba vitu hivi ndiyo vilikuwa chanzo cha wao kuchonganishwa ili miradi isiende kama walivyokuwa wamepanga
 
Ole sendeka naye akashadidia kumsema mmasai mwenzake kuwa si mmasai bali ni mmeru ili tu akose kura eneo la umasaini. Lowassa ilikuwa azoe kura zote za wamasai
Na sasa hivi wanateseka balaa wanatakiwa kuhamishwa wote,hawana mtetezi
 
Ukweli uko hivi.
Mila za kimasai huwa hazikatai watoto wanaozaliwa nje ya umasai na kuletwa umasaini, kwanini? Siri ya mimba imefichwa na mama, yeye ndio anajua (na wakati mwingine asijue) ni mwanaume gani alimpa hiyo mimba, hivyo mtoto hana kosa na jamii ya kimasai itapokea watoto wote.

Sasa kisa cha Lowassa kiko hivi, mama yake mzazi (sijui ni mmeru au mmasai) aliolewa na Mmeru na Lowassa akazaliwa, akiwa bado mdogo sana baba yake mzazi akafariki na mama yake mzazi akaolewa na Mmasai (Ngoyai) hivyo mzee Ngoyai akachukua mke na mtoto. Na mtoto (Lowassa) kimila akaingizwa kuwa sehemu ya wamasai. Na kuanzia hapo akawa ni mmasai sawa sawa na wamasai wengine wote, ni kitendo chochote cha kuhoji umasai wake, kimasai huko ni kukufuru.
Hii imeeleweka zaidi. Na ni Kweli .

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom