Mashine ya juice ya miwa ya kukodisha inahitajika

Mashine ya juice ya miwa ya kukodisha inahitajika

chozi 14

Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
46
Reaction score
72
Habari zenu wadau.

Ninaomba mtu awbaye anamashine ya kukamua juice miwa, Tuwasiliane tufanye kazi,

Ama kwa yeyote mwenye office mahali, na anauhitaji usimamizi wa kazi kwa makubaliano ya MALIPO ,
Tafadhalii naomba Tuwasiliane Tufanye kazi , Jiji Dar. Temeke, kinondoni, Ubungo, ilala nk. Asante.


Bado NATAFUTA.
 
Back
Top Bottom