Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,912
Chanika sio mahali pa kuishi kule pameshashindikana
Nayakubali sana mahusiano yenu mkuu. Mbarikiwe sana wakuu
Sasa kwasababu unaishi huko basi unajua kuna Uozo.Naishi chanika mzee ni uozo mtupu
Aamin rafiki nawe barikiwa sana!Nayakubali sana mahusiano yenu mkuu. Mbarikiwe sana wakuu
Sasa kwasababu unaishi huko basi unajua kuna Uozo.
Tuhabarishe, Uozo ndio nini?
Umepimaje u "Smart" wao mpaka uuone umeoza. au mie sijaelewa?
Na kama Uozo ni aina ya ugonjwa au madhara, wewe ume epuka vipi ugonjwa au madhara hayo ya "Uswahili" ? Uozo?
Najiuliza, hivi kuwa mswahili ni uozo? mhh

Najiuliza, hivi kuwa mswahili ni uozo? m
Tabia za kiswahili sana ni uozoSasa kwasababu unaishi huko basi unajua kuna Uozo.
Tuhabarishe, Uozo ndio nini?
Umepimaje u "Smart" wao mpaka uuone umeoza. au mie sijaelewa?
Na kama Uozo ni aina ya ugonjwa au madhara, wewe ume epuka vipi ugonjwa au madhara hayo ya "Uswahili" ? Uozo?
Najiuliza, hivi kuwa mswahili ni uozo? mhh
Ulichoka mapema sana ndugu yangu, pole sanaaSiku niliposhuka pale stend tu kuona hali nikaghairi hata kwenda kuona kiwanja chenyewe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukipanda daladala ya chanika kutoka mjini,
Njiani mnasimama kula na kuchimba Dawa.
hahahahaUkipanda daladala ya chanika kutoka mjini,
Njiani mnasimama kula na kuchimba Dawa.
Waende TunduruHao wamekimbizwa kutoka katikati ya jiji wamehamia huko na huko mmewafuata waende wapi tena huko ndiyo wamefika hao wazaramo
Sehemu gani hiyo Dar inaitwa Kaliakoo?! Wasukuma bwana hamna R nyie! Laisi ( Rais) , Miladi ( Miradi) Mologolo ( Morogoro)!Kutoka bunju kwenda kaliakoo , au chanika kwenda machinga complex ni wapi mbali , mi naona Kila mtu Aishi maisha yke , unaposema sehemu Fulani mbali unamaanisha umbali wa kwenda wapi?
Hapo umesema kweli,ikiwa watapatikana wapemba au wachaga,patabadilika,pungezeni bei ya viwanja.Wagemi nao wakikaa kwa muda "WANAKOPI NA KUPESTI" huo uswahili ili kuendana na MAZINGIRA.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo sio dawa kuondoa/kumaliza uswahili.
Omba wapemba waje waanze kuwanunua (kununua nyumba zao) ili wawakimbize..[emoji38][emoji38][emoji38]