Tanzania sio nchi ya mpira tunalazimisha tu

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Toka najitambua kweny soccer bara la ulaya timu za taifa ninazo zisikia ni France, Spain, Italy, Belgium, Portugal, england, Wales, Czech republic, German, Croatia uholanzi , na zingne ila mara nyingi ni hizi hizi aga zinajirudi

Ukienda American kusini, Brazil, Argentina, Colombia, Peru, Ecuador, Chile na zingne
Sawa na mabara mengne mara nyingi nchi zinakuwa zile zile lkn kiuhalisia yapo mataifa mengi lkn why nchi zinakuwa zile zile ndio zinafanya vzr means mpira nje ya kuweka misingi mizuri ya kuwezesha kupata wachezaji Bora

Lkn pia mpira ni nature ya sehemu husika kuna mataifa Yana nature hiyo ndio maan wahindi hata wajenge uwanja kila nyumba ila mpira sio asili Yao wanalazimisha tu Ndio maan hata hapa Tanzania kuna mikoa ni ngumu kukuta mchezaj mkubwa anatoka huko Nahisi kama taifa tungetafuta sisi kwa asili tunaweza nn Ili tujikite uko ila mpira tutaendelea kudanganyana kila siku inshallah tukutane awamu nyngn tutafny vzr

NB: Watanzania tujikite kweny ukocha maan hii nchi kila mtu anajua kuliko hat walimu wenyew wanaokaa na wachezaji nahisi kwny hiyo nyanja tutazalisha akina pep gerdiola na jurgen klopp wakutosha
 
Kwenye mpira level za kitaifa ni aidha uwe na vipaji vingi, uwe na mikakati mikali au ununue mafanikio.

1. Vipaji sijui kama vipo au havipo sina tafiti yoyote

2. Mikakati haipo kutokana na muingiliano wa siasa katika kila kitu

3. Pesa hatuna za kutosha kufanyabuwekezaji huo
 
Vipaji vipo ila vya kawaida na weny vipaji sn wanapendwa kubembelezwa mpk kero
Miundombinu ni kwel hatuna
 
Kwenye mpira level za kitaifa ni aidha uwe na vipaji vingi, uwe na mikakati mikali au ununue mafanikio.

1. Vipaji sijui kama vipo au havipo sina tafiti yoyote

2. Mikakati haipo kutokana na muingiliano wa siasa katika kila kitu

3. Pesa hatuna za kutosha kufanyabuwekezaji huo
Hatuna dhamira ya dhati yaani mipango ya muda mfupi na ya muda mrefu pia wanaopewa dhamana nadhani hawatoshi hiyo minyororo ya wapewa dhamana ambao hawana uwezo nani anaweza kuivunja? Jamii yetu lazima ibadirike tusikubali kulishwa kwa kijiko muda wote ,(spoon feed), namaanisha haya mabadiliko tunayo yatamani hayawezi kuja hivi hivi kwakuandika tu lazima kuthubutu yaani mtu mmoja mmoja ama kikundi Cha wanaojielewa kuanza kuujenga huo msingi na kuuendeleza kwakushirikisha wadau
 
Siku kukianzishwa kombe la kupiga majungu, kufany fitina, figisu, ufisadi, ubadhirifu, upigaji dili, uchawa, na kila aina ya ujinga; Hakika Tanzania lazima itafika fainali au kuchukua kabisa ubingwa.
 
Tanzania iko vizuri kwenye riadha na ndondi. Tujikite hapo. Vipaji vya soka hakuna kabisa ni kujilazimisha. Sio jambo la aibu kwasababu kuna nchi nyingi tu hazina vipaji vya soka.. USA, SA, Kenya, Canada, India, China, Australia... zote hizo ni nchi zisizo za kisoka.
 
Kwenye ngumi hapo umeongea ukwel tunavipaji vingi vya ngumi ni vile tu atujatengeneza mazingira ila mpira tunaforce
 
Vipaji vipo vingi Sana. Tatizo ni uwekezaji na Miundombinu ya kukuza vipaji vilivyopo.

Na sifa ya vipaji vya watoto wa Tanzania, Wanafurahia na kupenda vipaji vyao.
1.Uwekezaji
2.Miundombinu.(Elimu ya Mpira ).
3.Mifumo (Ujomba,ushangazi, mwingi Sana nawengi unaona waona wapo katika mifumo hiyo - Ni wachache wamejipambania).

Nina shuhuda kadhaa .
Mfano. Mwamnyeto .

Huyu nikijana mwenye kipaji , na asili ya ukoo wao ni watu wenye vipaji halisi , Kuanzia kupiga Ngoma ,kupiga baikoko ,Uganga wa jadi, na Mpira ndio kabisa . Kuanzia golikipa mapaka ufungaji. Na Wana asili ya miili (Giants) na nguvu Sana.
(Stori ya utoto, nilimfundisha Sana kuiba maembe -Ni mpole Sana ).

(Wakati tukiwa vijana , Alikua mfungaji mzuri Sana wa sodo, kutumia urefu wake na Ule upole wake ndio ilikua silaha yake , ukimsahau TU anaweka kambani.
(Alianza kujifunza kutuliza Mpira , wa ngoz akiwa serious iangali amesha balehe yaani 15+ yeye ndio yupo serious na elimu isiyo rasmi ya Mpira , Mkuu huyu lazima mtakuja kumlaumu TU. Na sababu ya urefu na nguvu alirudishwa karibu na goli kuzuia maana Forward asingweza weza Tena).

Mfano wa pili ni Gadiel Maiko Mbaga.

Aisee huyu tulikua tunamuita Cha boli , Jamaa Mpira tunatakiwa kucheza saa 10 yeye saa tisa yupo uwanjani . Jamaa alikua anapenda sana Mpira.
(Wale wa kwakaheza ,Donge, Mabovu Mtaa wa mwakinyo , makorora,Mikanjuni magomeni , Jamaica ) wanamjua .
Hakua mtu mwenye kipaji, ilaa Juhudi,nguvu ,mbio, na maarifa yake ndio salaha , ukijlisha na mguu wake wa shoto .

*Sababu ilikua inamfanya awahi uwanjani ni asiweze kukosa namba . Ili hata akitolewa awe amecheza Kwa muda mrefu.(hakua fundi ).
Huyu elimu isiyo rasmi ya Mpira alianza kupiga angali amepata balehe. 15+ .

Lakini tazama Juhudi zao katika kupambania ndoto zao. Hapo ndipo Mungu amewafiksha .
Hao ni baadhi TU . Ilaa Ukiwauliza wao wenyewe , watakuambia vizuri , Kuna watu tulipiga nao Mpira angali TU wadogo , Unamuona Ronaldinho ,Ronaldo, Messi , Dilima ,Rooney, lampard, Schooles , Gerard ,iniesta Hawaapa . Ila ndio hivyo.
#Miundombinu
#Uwekezaji#Mfumo
Hakuna.
Nakuhakikishiaa. Mtaani huko kunaa vipaji hatariii. Na Tanzania Ina asili ya Vipaji (Pure talents).
Tuwashike Matai hawa viongozi Kwa kutelekeza Jamii zao na kukosa uzalendo wa Taifa . Hata kwenye vile vinavyotupa furaha.
Na kuhusu wachezaji tutalaumu Sana .Tuwandae mapema.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Gadie

Habari nzuri wiki iliyopota Gadiel Michael katambulishwa timu ya Cape town spurs ya Afrika kusini
 
Mkuu . Duniani hakuna kocha ambaye hapendi mchezaji anayeweza kutoa nguvu zote na jasho kupambania team.

Gadiel Michael Mbaga. Ni mja wa Aina hiyo ya wachezaji.
Juhudi zake ndizo zimemfikisha pale. Anaupenda Mpira balaa, na ni mpambanaji. Ni mchezaji wa kumtafsiri.
(Hard work beat talent).
Tuna heshimu Juhudi zake Kama vijana wenzake katika kitafuta .

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Toka najitambua kweny soccer bara la ulaya timu za taifa ninazo zisikia ni France, Spain, Italy, Belgium, Portugal, england, Wales, Czech republic, German, Croatia uholanzi , na zingne ila mara nyingi ni hizi hizi aga zinajirudi

Ukienda American kusini, Brazil, Argentina, Colombia, Peru, Ecuador, Chile na zingne
Sawa na mabara mengne mara nyingi nchi zinakuwa zile zile lkn kiuhalisia yapo mataifa mengi lkn why nchi zinakuwa zile zile ndio zinafanya vzr means mpira nje ya kuweka misingi mizuri ya kuwezesha kupata wachezaji Bora

Lkn pia mpira ni nature ya sehemu husika kuna mataifa Yana nature hiyo ndio maan wahindi hata wajenge uwanja kila nyumba ila mpira sio asili Yao wanalazimisha tu Ndio maan hata hapa Tanzania kuna mikoa ni ngumu kukuta mchezaj mkubwa anatoka huko Nahisi kama taifa tungetafuta sisi kwa asili tunaweza nn Ili tujikite uko ila mpira tutaendelea kudanganyana kila siku inshallah tukutane awamu nyngn tutafny vzr

NB: Watanzania tujikite kweny ukocha maan hii nchi kila mtu anajua kuliko hat walimu wenyew wanaokaa na wachezaji nahisi kwny hiyo nyanja tutazalisha akina pep gerdiola na jurgen klopp wakutosha
Tanzania ni nchi ya ujinga, maradhi na umaskini.
 
Back
Top Bottom