Dah! Dada unaroho mbaya sana wewe, na ukute mtu kama wewe waislamu wanakupa heshima kwenye mihadhara yenu unapewa Mike unawajaza ujinga wenzio wanaendelea kuwa mambumbumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mechanism iliyopo ni kwamba elim ya mzungu ikisha kuingia kichwani inakubadilisha kimawazo na mtazamo na kabla mtu hajafikilia kuzaa watoto wengi kwaajili ya kuujenga uislam atawaza kujenga standard ya maisha yake binafsi na familia yake
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba hawato kuepo kabisa wakuoa wake wengi na hao wachache watotozao kwakua watasoma vizur hawatoiga tabia ya baba zao ya kuoa wengi so taratibu huo utaratibu utakufa kupitia elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
unafikili wakisha soma na kuelimika bado watakua na hayo mawazo ya kuoa wake 4 na kuzaa watoto wengi? huijui elimu wewe, kama wanataka hilo lengo lao la kuwa wengi litimie waache kwenda shule wasome madrasa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari mkuu ni mazuri kusimuliwa ila huo usiku ulikua ni wa shida sana, shule ina hadi walemavu wa ngozi, wasiona, na viwete lakin hawa jamaa ffu walivyofika skonga hawakua wanaangalia sura ni kichapo tu bwenini hakubaki mtu tulikutana aubuh kila mmoja akitokea anakojua yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.