Recent content by Choper

  1. Choper

    Nifanyeje ili nisifike kileleni haraka wakati wa kufanya mapenzi?

    Hilo janga kweli wewe mwenye mzaha omba yasikukute Utahangaika kila kona.. Tatizo hili kiukweli nikubwa kwa aliekutana nalo Kweikweli nikwamba mimi pia limesha nikuta naushauri mwingi nimefuata paka sasa niko vizuri Nikwamba usiwe napaniki pindi unapo taka kufanya jambo hilo kama ulishindwa...
  2. Choper

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Hapo patamu mkuu ndio maala pazuri pakujuana wanandugu Kwamajina Ally s mhando ila kwa sasa au kimakazi kwa ujumla niko Mkoa Wa Arusha kwetu hasa Tanga Korogwe navijiji nilivyo wahi kutembelea :ambangulu,bungu,lutindi,kwemasimba,antakae,msambiazi,gudusheni,maurui,mgobe,chekereni...
  3. Choper

    Heko Lema kwa Ujenzi wa Barabara hadi za mitaa

    Pongezi sana mbunge wetu lema pamoja na Meya wa jiji ila huku maeneo ya Lollvono larashi kuelekea mtaa wa Manyara kwenye kivuko cha Daraja la wapita kwa miguu Kunaadha kubwa sana ya usafiri hususani katika hicho kivuko hususani ktk kipindi cha mvua wanafunzi wanateseka sana miundo mbuni kama...
  4. Choper

    Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Mwezi umeandama Tumeuona huku maeneo ya Arusha mjini
  5. Choper

    TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Mungu mkubwa poleni wana Tanga....
  6. Choper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vip kwenye kifurushi Cha chuo Halotel Cha 500 ukijiunga unapewa MB 500-100 Na usiku 100 inamaana gani? ...
  7. Choper

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mkuu soko la hivyo vitu hususani Sim,memory Glass protector Linapatikana wapi kwa Bei ya jumla...
  8. Choper

    Najuta kwakweli najuta, nimegundua ana ugonjwa wa Ini

    Hivi huko sinikujitakia Maana ushambiwa ana ukimwi hukutaka kusikia Kwas akili zako wewe kama wewe kama umependa kweli ungeenda kuakikisha alafu wewe mwenyewe akili kichwani Sasa anaugonjwa wa Ini usishangae siumependa kweli....kabiliana nalo...
  9. Choper

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Najitokeza kuuliza swali Kama itawezekana kujibiwa nitashukuri zaidi Swali langu: inawezekana kumroga mtu alie mnyanganya sim Baba yangu nakumpiga kiasi cha kumuumiza vibaya na kumuachi majeraha makubwa Kisa alikua kalewa(kanywa pombe)...
  10. Choper

    Malipo ya kusitisha ajira

    Vyote ulivyo vitaja atalipwa Ispokua hiyo notis
  11. Choper

    Kitaalamu hivi ili jaribio la bomu la nyuklia kutoka Korea ya kaskazini halitatuathiri waafrika?

    Mi naona lishaleta madhara huku mikoa ya kaskaz maana mvua hazinyeshi njaa tupu
  12. Choper

    Upendo baina ya ndugu unazidi kupungua kwa kasi

    Kweli mkuu skuizi nishida tuu ndugu wamegeuka kama jamaa salam mpaka upate janga
  13. Choper

    Hivi wasambaa wana sifa gani??

    Wasambaa wanyenyekevu wakarim sana hsusani kama utakua mgeni wake Alafu hawapendi upumbavu...
Back
Top Bottom