Claret
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 758
- 981
Mkuu sijui watu wa dizaini yako hii huwa wanapataje wake achilia mbali wapenzi. Natamani nikuzabe!!!Kwanini aniulize hivyo wapi nilipokosea
Mkuu sijui watu wa dizaini yako hii huwa wanapataje wake achilia mbali wapenzi. Natamani nikuzabe!!!Kwanini aniulize hivyo wapi nilipokosea
Hapo ndipo tofauti unapoonekana kati ya mvulana na mwanamme.!!anamaanisha uko salama akilini?
HahahaahahaIs there anything too difficult to the Lord?
Si nasikia dawa imepatikana.Mhhhh tunakoelekea wallah UKIMWI hautaogopwa hata yaan mtu anakwambia live lkn bd unaendako eeh Mola
Habari JF.
Na kitu hatari zaidi ugonjwa huu nasikia unaambukizwa hata kwa njia ya kunyonyana ndimi, nilishafanyaga nae denda mara kadhaa lakini ninapoenda hospitali sijawahi kukutwa na hili gonjwa.
Tunakaa mbalimbali lakini linapokuja suala la kuonana mwenzangu anataka tufanye romance ambacho ni kitu hatari zaidi kupata haya maambukizi aliyonayo .
anamaanisha uko salama akilini?
This is what I thought tooanamaanisha uko salama akilini?
Tumuache tu huyo kakurupuka kujibuThis is what I thought too
Kuna mambo mengine wala hayahitaji ushauri zaidi ya utekelezaji tu wa kile unachokifikiria. We have been born with natural power of making personal decissions especially in critical situations.
Ushauri wa bure kwa kijana mtoa uzi; ukiambiwa kitu kipokee, kifikirie alafu fanya maamuzi
kuna watu sidhani kama wanastahili kuishi katika hii sayari yetuIvi wewe una akili sawa sawa laikn kwanza wewe apo ulipo ni mzima?
InnaTumuache tu huyo kakurupuka kujibu
mimi nakushauri kwanza uende ukapimwe ubongo wako.. inawezekana kabisa kuna grams zimeoungua .. wakuongezee hata wa kondooKwanini aniulize hivyo wapi nilipokosea