Heko Lema kwa Ujenzi wa Barabara hadi za mitaa

Hiyo ni programme ya serikali kwenye majiji ya mbeya arusha mwanza tanga na miji ya kigoma mtwara Dodoma pesa zimetoka
Benki ya dunia, chadema hawawezi kufanya haya, Sabodo aliwapa pesa ya kuchimba Visima Tu hakuna hata kimoja kilichochimbwa pesa yote wakala
 
Mkumbusheni na Mdee pia, mahandaki jimbo ya Kawe imekuwa kama kitu cha kawaida, gharama ya kununua vipuri vya magari inasikitisha,wasipoweka lami basi wapitishe hata greda baada ya mvua.

Kawe ina bahati mbaya mbili

1. Imemezwa ndani ya halmashauri ya Kunondoni
2. Mdee hana madiwani wala meya wakumtosha kubadilisha mambo
 
Hiyo ni programme ya serikali kwenye majiji ya mbeya arusha mwanza tanga na miji ya kigoma mtwara Dodoma pesa zimetoka
Benki ya dunia, chadema hawawezi kufanya haya, Sabodo aliwapa pesa ya kuchimba Visima Tu hakuna hata kimoja kilichochimbwa pesa yote wakala
Unakijua unachoongea?

Barabara zote za Arusha mjini zimejengwa kwa mapato ya makusanyo ya ndani (Baraza la madiwani ambao asilimia 99 ni Chadema) ndio wameanua fedha hizo ziende kwenye miundombinu ya Barabara, Shule , Afya nk.

Kuna mradi mmoja wa Barabara uliopo Kata ya Ngarenaro, Wold Bank baada ya kuona matumizi bora ya mapato ya ndani wamehaidi kushuhulikia.

Sasa nyie makinikia ebu tuelezeni hizo fedha za serikali zinazofanya Maendeleo hapa ARUSHA ni zipi?

Kumbukeni pia pato kuu la Almashauri ya Jiji la ARUSHA lilikuwa ni Propart tax, na serikali kuu imeinyanganya halmashauri pato hili, lakini kazi ya Mungu bado inaendelea kwa kazi ya F22
 
Safi Sana, wape ukweli
 
Halimashauri zenye madiwani wengi wa upinzania zinapiga hatua, mkoani kwetu mbunge na diwani (wote ccm) wanawaza matumbo yao tu, barabara ni mbovu hatari, ikifika uchaguzi wanawahonga wazee na wamama ili washinde uchaguzi. CCM badilikeni, wananchi wamewachoka mnatumia nguvu tu kushinda
 
Hii pongezi ni kwa Mhe. Magufuli na serikali yake. Lema anatoa mafungu?

Mkuu bila upinzani kuisimamia serikali hamna kitu kitakachofanyika zaidi ya kupiga hatua moja mbele halafu unarudi mbili nyuma na kujipongeza, hii serikali yetu bado sana sana sana sana..
Hatupendagi ujinga sisi...........
 
Unakijua unachoongea?

Barabara zote za Arusha mjini zimejengwa kwa mapato ya makusanyo ya ndani (Baraza la madiwani ambao asilimia 99 ni Chadema) ndio wameanua fedha hizo ziende kwenye miundombinu ya Barabara, Shule , Afya nk.

Kuna mradi mmoja wa Barabara uliopo Kata ya Ngarenaro, Wold Bank baada ya kuona matumizi bora ya mapato ya ndani wamehaidi kushuhulikia.

Sasa nyie makinikia ebu tuelezeni hizo fedha za serikali zinazofanya Maendeleo hapa ARUSHA ni zipi?

Kumbukeni pia pato kuu la Almashauri ya Jiji la ARUSHA lilikuwa ni Propart tax, na serikali kuu imeinyanganya halmashauri pato hili, lakini kazi ya Mungu bado inaendelea kwa kazi ya F22
Propart????
 
World bank wanafadhili na hii ni awamu ya pili labda arusha fedha zilichelewa Ila mbeya Dom mza kigoma na kwingineko wote wakipata, sasa hivi ni awamu ya pili mradi unaitwa Tanzania Strategic Cities Projects TSCP unaweza Google.
 
Kwani zile pesa za world bank bado ipo si zilitafunwa enzi za akina Kabwe& j'mkangaa.
Hawa nao ni majipu tena wengine hata makaburi yao yafufuliwe tu na yapigwe pingu
 
Pongezi sana mbunge wetu lema pamoja na Meya wa jiji
ila huku maeneo ya Lollvono larashi kuelekea mtaa wa Manyara kwenye kivuko cha Daraja la wapita kwa miguu Kunaadha kubwa sana ya usafiri hususani katika hicho kivuko hususani ktk kipindi cha mvua wanafunzi wanateseka sana miundo mbuni kama umeme na husuma nyinginezo kama huduma za Afya
Tunaomba mliangalie hili Wakubwa wetu ktk serikali hii,
 
Safi

Kilio chako amekisikia.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom