Recent content by Chokona

  1. C

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    Ndo hayo Maaskofu wanakukatazeni !!!kwa akili ndogo uliyo nayo kujua watu wa mataifa kwa biblical context wewe huwezi elewa!! waingereza wanasema hivi'' no research no right to speak mimi naongeza no right to comment''you cannot be an authority to everything when it comes to intelectual thinking...
  2. C

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    Maneno ya kila siku mpaka yanachosha kila ouvu ukikemewa au baya kukosolewa watu hawataki kujibu hoja, ama watasema udini au uvunjifu wa amani au mtu hatari kwa taifa. Hivi huu ujinga utasemwa mpaka lini?? Salva jibu hoja siyo matusi ,EBu tutafakari 1. Kila mtu anajua kuwa Dr Rashid aliajiliwa...
  3. C

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    Na kama kweli Dk. Slaa ametoa kauli hii na kusema maneno ya namna hii basi sasa Watanzania wanayo kila sababu na haki ya kuamini kuliko wakati mwingine wowote kuwa mzee huyu (Slaa) sasa amechanganyikiwa na ni mtu wa hatari sana kwa utulivu wa nchi hii.
  4. C

    Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

    Hivi watanzania hawana kumbukumbu au wewe ndo hauna kumbukumbu ?? unakumbuka kuwa serikali ilifanya kiini macho wakampeleka mtu mhakamani na hivyo bunge likaambiwa haliwezi kuongelea kesi ambayo iko mahakamani !! ulitaka Sitta hafanyeje? nafikiri ama wewe ni beneficiary wa hawa wezi au I beg to...
  5. C

    Sitta: Kuilipa Downs ni kuhujumu uchumi

    Hivi tunakwenda kumlipa nani?? to my understanding hakuna mtazania aliyejitokeza na kusema adharani kwamba yeye ndo mweye Downs !!! na je kwenye hiyo ICC TANESCO alisimama na nani, maana nafikiri ni vyema tukajua je tunawalipa watanzania wenzetu au watu wa sampli gani? Isitoshe sinema ilochezwa...
  6. C

    GE2010 Mapendekezo kwa CCM kufuatia "the Walkout"...

    You don't ask for your tights rather you demand your rights, sasa Chadema wamekuwa waungwana sana na pia wanaonyesha kuweka maslahi ya taifa mbele sana, kwa lile vugu vugu iliyokuwepo wakati wa kutangaza matokeo wangeamua kuwatangazia watanzania kuingia mtaani kudai haki yao hivi hata hilo...
  7. C

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Nafikiri ubadili heading ya habari yako it is an absolute insult kuita hii kitu imeandikwa hapo kuwa ni ya ''wasomi'' hakuna hata chembe ya usomi katika hiyo takataka hapo juu, nashauri isomeke hivi Umoja wa vijana ccm UDOM unasema hivi.... lakini siyo wasomi chonde chonde maana kama analytical...
  8. C

    Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

    It does not make sense to me, kutuwekea maisha binafsi ya mzee Mtei, ili kiwe nini?? Kama chadema itashinda Mtei anaingia wapi katika serikali yao, maana hagombei ubunge kwa hivi hawezi kuwa wazili,so to say hawezi kuingia ktk balaza la Mawaziri,kwa umri uliomtaja simuoni hata akiingia bungeni...
  9. C

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Nafikiri huo ni woga ambao hauna sababu kwa maana katiba ni nini? si ilitungwa na kuandikwa na watu ili kulinda jamii ya watu wa Tanzania!! sasa kama mtu atawavunjia utu na heshima watanzania kwa kuwanyima matakwa yao halali hata akiapishwa saa nane usiku bado ajue tu moto huko pale pale, haki...
  10. C

    Kenya's Vice President says: 'East Africa still needs Kikwete'. ?!?*

    whoever the name is!!!! I think he is 100% stupid !!! are you trying to say, if Kikwete being only human was to die to day he would die with the commmunity of East Africa? If the brain is much that cheap you shouldn't be a government official.
  11. C

    GE2010 CCM waanza kumwaga damu mkoani Mara

    Hakuna kitakachotokea kwa sababu ''we have hopeless people katika nyanja za usalama wa raia, nchi na mipaka yake na taifa kwa ujumla wake , the moment hawa watu watakapotambua kiapo chao cha kuilinda taifa la Tanzania na mwisho wanamuhusisha Mungu kuwa shahidi wao na Mungu ambaye ni kweli na...
  12. C

    GE2010 Rais anayebeba watuhumiwa hafai

    Wengine husema hivi "Show me your friend and I will tell you, who you are"
  13. C

    GE2010 TAKUKURU yampinga Askofu Mokiwa

    Hivi hawa wenzetu wana akili ama ndo hivyo!! naomba kuuliza hivi ukimuonga mke wa mtu shillingi millioni naye akaipokea na asikutimizie matakwa yako, akachukua ile hela akampelekea mumewe na kumweleza chanzo,wakachukua hiyo hela na kuiweka katika badgeti yao je huyu mwanamama anahesabiwa...
Back
Top Bottom