Recent content by Choi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    nisichoelewa kwa nini mje kushtakiana hapa!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    kiingereza ni lugha tu kama kiswahili, kimatengo, kihehe, kizaramo na nyinginezo nyingi! sio lazima ujue kiingereza kuonyesha taaluma yako, kuna watu wana shule ndefu tu duniani na hawajui kiingereza mfano wachina, wajapani, waarabu, wafaransa, tembelea scandinavian countries, huko kote kuna...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tuipe CCM Tena 2015!!!

    kama tu malalamiko yetu tutayaweka kwenye vitendo badala ya maneno matupu
  4. C

    JamiiForums Tanzania natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

    sasa mimi nimeangalia alivyo spell umri na mkristo nikapata wasiwasi na hiyo elimu yake, maana hata mtoto wa darasa la pili asingekosea
  5. C

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Aibu ya Mafisadi, Hoja ya Zitto, hatima ya Tanzania, tuko hatarini

    lakini hata sisi tunalalmika weeee, kulalamika hakutatusaidia!
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    all politicians a damn liers!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    YESU wetu hapiganiwi anajipigania mwenyewe. Ukiona unaanza kumpigania Mungu wako inabidi ujiulize yeye anaweza nini
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa 4 real...

    pengine umri utumike kama kigezo cha kujiunga humu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

    ha ha ha ha ha haha
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguo ya ondani ya mwanamke ina thamani sana

    sasa hata ukiwa na kioo makalioni unajionaje? pengine hata hajui kama hiyo nguo inaangaza hivyo! musimfikirie vibaya!
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania In China, cheap and cheerful phones outsmart Apple

    mimi nikisikia tu simu ya mchina naiogopa! what about its durability compared to iphone 4s?
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahali kumi pa kutembelea tanzania kabla hujafa

    ukienda huko hurudi!
  13. C

    JamiiForums Tanzania CCM yawakaanga Bashe, Kigwangalla

    CCM kazi yao kufukia maovu! na mafisadi walianza kidogo kidogo kama hivi, waaache sheria ichukue mkondo wake, ili liwe fundisho!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    mimi sio mtaalamu wa uchumi, lakini siku moja nilikwa nikiongea na rafiki zangu wanaosomea uchumi wakaniambia hakuna nchi duniani iliyoendelea kwa kutegemea kilimo! nchi zote zinaendelea kwa kutegemea mapinduzi ya viwanda! wachumi mliopo hapa jamnvini mtujuze zaidi
Back
Top Bottom