In China, cheap and cheerful phones outsmart Apple | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In China, cheap and cheerful phones outsmart Apple

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bukyanagandi, Sep 7, 2012.

 1. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  SHANGHAI - In China's booming smartphone market, which is set this year to overtake the United States as the world's largest, a host of little-known local firms are primed with cheap phones to squeeze market share from US giant Apple Inc's iPhone.

  [​IMG]

  Lei Jun, founder and CEO of China's mobile company Xiaomi, speaks at a launch ceremony of Xiaomi Phone 2 in Beijing August 16, 2012. [Photo/Agencies]

  In the latest local challenge to the iPhone, Xiaomi Technology on Thursday launched the successor to its popular MiOne (MI) smartphone. The MI2 has specifications that exceed those of the iPhone 4S and sells for less than half the price.


  Smartphones from Xiaomi - founded only two years ago but already worth more than Blackberry maker Research in Motion , according to private market valuations - have proved so popular they sell out in minutes after going on sale online. The company, founded by CEO Lei Jun, said last month its first-half revenue was close to $1 billion as it sold more than 3 million phones.


  Mirroring Apple's annual worldwide developers conference (WWDC), where devotees would pay to listen to Steve Jobs showcasing new products, the informally-clad Lei charged Xiaomi fans 199 yuan ($31.30) to attend the Beijing launch, with the proceeds going to charity. Over 1,000 people flocked to the event.


  While iPhone sales will increase in China, Apple's market share may stagnate or even dip as the market's changing demographics mean the iPhone flourishes in just a handful of wealthy Chinese cities, analysts said.


  Industry researcher IDC estimates that in China last year, smartphones costing less than $200 made up 40 percent of shipments, while devices costing $700 and more accounted for 11 percent of the market.


  "The sweet spot of affordability in China is 800-1,500 yuan ($130-$240)," said Michael Clendenin, managing director of Shanghai-based consultancy RedTech Advisors. "The 'Lao Bai Xing', or man in the street, is going to go for these mid-tier phones."


  Li Xing, 35, lauding the Xiaomi phone's signal capabilities at the launch event, said: "I preferred not to use Apple because I didn't want my phone to be a luxury product, it's just a phone."


  The MI2, which goes on sale in October at 1,999 yuan ($310), has a quad-core processor, 8 mega-pixel camera and a voice-assistant similar to Apple's Siri.


  "Other phones are just phones, but a Xiaomi phone is very human-friendly," said Chen Zhen, 31.
  Apple releases a single iPhone model a year at a price - around $800 - equivalent to about two months pay for an urban Chinese, who make up half of China's 1.3 billion population. Analysts say the real growth in China is in cheaper smartphones where a wide variety of models at different prices appeal to first-time buyers.


  "Apple isn't going to rule China, simply because of the limited models they have and the price points they target," said TZ Wong, an analyst with IDC. "Based on these two factors, we do not think Apple will be the No. 1 smartphone player in China."


  Apple ranked second in January-March smartphone shipments in China, with 17.3 percent market share, trailing Samsung Electronics' 19.2 percent, according to research firm, Gartner.


  iOS to slip to 3rd
  Apple's market share by volume has been on a downtrend, and the share of the market commanded by its iOS mobile operating system is expected to slip to third place by 2016 from second earlier this year, according to Gartner analyst Sandy Shen - below Google Inc's Android and Microsoft Corp's Windows.


  Apple's iPhone sales in China, its second-largest market, stumbled in April-June on inventory adjustments with the launch of the iPhone 4S. That extra inventory meant resellers didn't need to buy as many iPhones during the quarter, and the expected launch later this year of the iPhone 5, with enhanced Chinese language capabilities, also likely held back orders.


  "Apple's market share is pretty stable. It will be flat over the next five years. Although volume-wise it's increasing, that's because the total market is growing," Shen said.


  Research firms IDC and Gartner predict China's smartphone shipments could hit 140 million this year, topping those in the United States.


  High-spec, Low-cost
  Growth is driven largely by smartphones made by ZTE Corp , Lenovo Group and smaller private firms such as Xiaomi, Gionee and Meizu Technology.


  Meizu phones, which sell in China and Hong Kong for 1,500 yuan, are feted by Western technology blogs for offering high-end smartphones at bargain basement prices.


  Offering even cheaper models, Alibaba Group, Shanda Interactive and Baidu Inc have all this year launched smartphones for under 1,000 yuan. Baidu's phone, made with partners, retails at 899 yuan ($140), while Alibaba's waterproof smartphone, made with Haier Electronics Group , costs 999 yuan.


  "For those with an iPhone or Samsung ... it's just a replacement cycle. But for many people who haven't got their first smartphone, those are the people who will get cheap smartphones," Shen said. ($1 = 6.3625 Chinese yuan)
   
 2. C

  Choi Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi nikisikia tu simu ya mchina naiogopa! what about its durability compared to iphone 4s?
   
 3. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu watu wanacho sahau ni kwamba, vifaa karibu vyote vinavyo hunda iphone vinatengenezwa Uchina under license - kwa hiyo siri za iphones zinanavyo fanya kazi, wafanyakazi wa Kichina wanajuwa. Hivyo kinachotokea ni kwamba Engineers au technicians walio wahi kuajiliwa na kiwanda cha iphone wanahacha kazi na kuanzisha kampuni zao na kushindana na iphone - si wamekwisha juwa kila kitu kuhusu iphone bwana! Mkuu huo ndio ujanja wao .

  Mkuu Wachina wanahunda ndege za kiraia na za kivita, Rocket, mabomu ya nuclear watashindwaje vitu vidogo kama simu - wenzetu hawa hela yako tu-ukiwa na shilling elfu kumi utapata simu ya elfu kumi ukiwa na laki tano au millioni utapewa simu zenye thamani na ubora kulingana na hela yako. Siku moja Barozi wa Uchina aliwalahumu sana wafanya biashara wa kibogo wanao kwenda Uchina na kununua bidhaa duni wakijuwa fika kwamba bidhaa hizo ubora wake ni hafifu alafu wanazileta Tanzania kuwahuzia wateja kimaksudi, kwa kujali sana faida tu badala ya ubora.
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Hiyo aya ya kwanza ndio siri nzima ya mafanikio ya Uchina. Wao wakipelekwa mahali kufanya kazi huwa wanaiba teknolojia, hawaibi kingine. Baada ya hapo unakuta wanaunda kitu kama kile cha ukweli. Walishawahi ku-hack mtandao wa BMW saloons na kuiba blue prints. Wakatoa gari la kichina lenye kila kitu cha BMW, sijajua ile kesi ilimalizwaje. Thred yake ilikuwepo hapa JF miaka kadhaa iliyopita. Kwa maana hiyo sishangai iwapo Wachina wametengeneza simu ya mfano wa Iphone kwa kila kitu, lakini ikiwa na jina lao. Hata ukiangalia engines za malori aina ya FAW za miaka ya nyuma (2000 - 2007), ni identical kabisa na za Mitsubishi, almost kila kitu.
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Hata ingekuwa mimi ningefanya hivyo mkuu, hakuna haja ya ku-reinvent the wheel unafanya reverse Engineering tu kuhokoa muda wa kufanya research. Mkuu Wachina ni moto wa kuotea mbali, unakumbuka vita vya huko Bosnia Wachina waliwapa silaha wa Bosnia/Yugoslavia ili waweze kutungua Stealth Bomber ya Kimerikani - Wachina walikuwa na hamu kumbwa ya kufahamu SIRI ya material zinazo tumika kuhunda ndege hiyo, baada ya kufanikiwa kuitungua kesho yake Wachina wakakusanya vipande kiasi alafu wakapeleka kwao kwenye mahabara kuchunguza ni madini gani yanawekwa kuzuia ndege hiyo isionekane kwenye RADA! Juzi juzi hapa wamefanya majaribio ya ndege yao yenye spec kama za B-2 ya Merikani.

  Kisa kingine kinahusu operation maharumu ya kumuhua Osama, Merikani ilipeleka Helicopter zilizo hundwa kwa teknolojia ya hali ya juu sana, kwa bahati mbaya moja ya chopper hizo iliparamia ukuta ikakatika sehemu ya mkia kama sikosei hivyo ikabidi Wamerikani kuiacha kwenye compound ya Bin Laden - kesho yake Wachina wakishirikiana na Wapakistani wakabeba sehemu ya Chopper na kuipeleka Uchina kuchunguza tekinolojia iliyo tumika kuihunda, wenzetu awalali mkuu. Kwenya magari na mambo ya IT ndio usiseme, wanabeba kila kitu hata ikibidi kulipa mamillioni kwa wizi wa tekinolojia watafanya hivyo.
   
 6. N

  Nkwama welding Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwetu watu wanaiba hela na mifugo kumbe kwawenzetu wanaiba ideas na mablueprintsnakumbuka makala moja ya miaka ya nyuma ilimhusu mmoja ya waanzilishi kampuni ya Sony ya Japan,alisafiri toka Japan mpaka marekani kununua redio moja ya mfukoni,wakati huko ilikuwa ni uvumbuzi mpya uliofanywa na mmarekani.akaipeleka kiwandani kwao huko Japan jopo la ma engineer likakaa wakaweza kuunda redio ndogo zaidi wakalikamata soko ladunia la viredio vya mfukoni.
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Kiswahili chako kigumu sana mjomba....hadi jasho limenitoka
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Siajelewa iwapo umwamba ni kukopi cha mwenzako au ni kutoa chako tofauati na cha wenzako.

  Kinachowasaidia wachina nadhani ni wingi wao na tamaa za matajiri wa kimarekani. Matajiri wa kiamarekani hupenda sana unyonyaji na hivyo kwa vile wachina ni wengi sana kiasi kuwa wanaweza kufanya kazi hata kwa dola moja kwa saaa, basi wamarekani wamekuwa wanawapelekea kila kazi hata ile inayoweza kukopiwa.

  Katika ulimwengu wa leo, inawezekana ni rahisi sana kubuni teknolojia yako mpya kuliko kukopi ya mwenzako. Gharama ya kukopi ni kubwa sana kuliko wengi wetu tunavyoamini. Unafuu wake ni matumizi madogo ya ubongo lakini raslimali zinazotakiwa kuiweka sawasawa ni nyingi sana
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hyo inatumia operating system ipi
   
 10. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  android ics
   
 11. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Yeah nmetoka ku google hapa. Ktu cha jellybean ... Nkipata mtu anaenda chna ntamwagiza hii
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,745
  Likes Received: 7,004
  Trophy Points: 280
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  nimeiona mwishoni wanasema ni about euro 190 yani ni kama laki nne kasoro hivi ambapo ingekuwa samsung kwa specifications hizo ni kwenye laki saba
   
 14. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashaka unaweza zipata ebay au makampuni kama hayo lkn nyingi ni used,

  sim ni nzuri kwa bei zao,kampuni inampango wa kuingia soko la kimataifa karibuni, tatizo lina kuja wanaweza kuweka bei chini maana kuuza nje ya nchi kuna matatizo na changamoto nyingi kwa kampuni ndogo au changa
   
 15. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa ni noma tatizo bongo tunaletewa feki hapa nina simu flani inaitwa sky inatumia android processor ya ukwl na memory internal 4gb imetoka china inapga kazi poa kabisa na imara kma hzi samsung
   
 16. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
Loading...