Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

At least the old man should show some respect to his daughters. Its typical non-African to utter such remarks concerning his daughters, a fact he cannot deny.

Hivi wasira kutoa kauli kama hiyo dhidi watoto wa kaka yake wa tumbo mmoja tena ambaye inasemekana (sina uhakika) kaka yake Gorge Wasira ndo aliyemsadia sana steven wasira mwenyewe inajenga picha gani kwake na kwa jamii inayomzunguka? Ni aibu kwa familia yao, wapiga kura, ukoo wake na watz kwa ujumla. Anasaidia kuiua ccm.
 
mwandishi anaweza a kawa kwenye payroll ya babu.hakuna linaloshindikana dunia hii.inaonekana hapo sio ofisini.
Hujakosea mkuu, hata nilikopata habari hii, front page ya Majira, nao wako kwenye payroll ya babu.
Lazima tuwaletee hizi habari,mia tano si mchezo.
 
..Kwa umri kama wa Wasira hakupaswa kutoa kauli za kihunihuni kama hizi kwa umri wake na wa Dr.
 
Hiyo tarehe tajwa mbona haijakaa sawa, mwezi ishirini ndio upi huo?

Hiki ndicho kinamsumbua mzee wassira, anatambua kabisa jinsi alivyosaidia kuwahisha kifo cha mzee ndege na kupelekea kusambaratika kwa familia ile. Sasa anatafuta pahali pa kupumulia...

Mwita Maranya hili nalo neno jipya kwangu. kwa kuwa taarifa zako huwa ni za kweli nadhani hapa napo pana ukweli fulani ambao tutaujua mbeleni kwa undani.
 
Kuwe na hoja za msingi basi mbona anawasiwasi wale walijitambulisha ni akina Wasira kaka yake anaitwa Wasira yeye kihelehele cha nini,au amekuwa msemaji wa ukoo wao. Halafu kuvunja ndoa za watu akina mama wawili kwa wakati mmoja chumbani kuna wasiwasi gani awaombe radhi watoto wa kaka yake. Ni kweli hata mophology zao ni tofauti na Wasira mdogo.
 
Katika kile sasa kinachoonekana kuwa bifu kali kati ya hawa wanasiasa waili wa umri mkubwa, Waziri Wassira amemtaka Dr Slaa awe mwangalifu katka kutoa kadi za chama chake chumbani bila wadau wengine kuwapo!!

Kulingana na gazeti la Majira leo tarehe 1/10/2012, Wassira alikuwa akijibu mapigo kwa jina lake kutumiwa na Dr Slaa katika kuwapa kadi wanachama waili wenye jina la Wassira.
Hata hivyo Nd Wassira alisema ndugu zake hao ambao ni watoto wa kaka yake,Lilian na Ester Wassira wana haki ya kujiunga na chama chochote cha kisiasa.

Ni kinukuu gazeti la Majira la leo, lina sema:

" Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Bunda,mkoani Mara, Bw Wassira alimshukia Dr Slaana kumtaka awe makini
kuwaita wake za watu chumbani na kuwapa kadi bila maofisa wengine wa chama hicho kushuhudia tukio hilo."

Wassira aliendelea,

"Namtahadharisha Dkt Slaa kwani alichokifanya kinaweza kuleta mtafaruku katika ndoa za watu"

Wana bodi hili bifu sasa ni kali, lakini namii niliona lile jicho alilolikata yule binti mdogo mdogo kwenye TV, lilikaa kimahabuba, sijui pengine macho yangu.

Nawapongeza CDM kwa kupata wanchama wazuri hivyo.

Hapo kwenye red,
Wewe pia huna tofauti sana na Wassira !!
Wassira nae aliwaona 'wanawe' (ndugu zake wa kike ?? / wake za watu ??) kuwa wako chumbani na Dr. Slaa.
Yaani aliwaona wakiwa peke yao !!
Yaani, hakukuwa na shuhuda mwingine pale !!
Yaani hapa mpiga picha za TV hakuwepo pale !! Mpiga picha za TV hakuwa shuhuda pale !!
Yaani walikuwa 'kumahuabuba' kama ulivyosema !!
Au. Wassira alikuwa anawachungulia (chabo) kwa dirishani ??
 
Hata akiwaitia chumbani angewafanya nn?wako wawili then bd kuna ushahidi wa mpiga picha hapo!
 
Hapo kwenye red,
Wewe pia huna tofauti sana na Wassira !!
Wassira nae aliwaona 'wanawe' (ndugu zake wa kike ?? / wake za watu ??) kuwa wako chumbani na Dr. Slaa.
Yaani aliwaona wakiwa peke yao !!
Yaani, hakukuwa na shuhuda mwingine pale !!
Yaani hapa mpiga picha za TV hakuwepo pale !! Mpiga picha za TV hakuwa shuhuda pale !!
Yaani walikuwa 'kumahuabuba' kama ulivyosema !!
Au. Wassira alikuwa anawachungulia (chabo) kwa dirishani ??
Acha kumshambulia aletaye ujumbe.
Shambulia ujumbe wenyewe, naona Wassira kawakoroga kweli!
 
Mimi naona ni ofisini.........sijui ''chumbani'' anakokuongelea ''PET'' WASSIRA ni wapi?

Lilian-Wassira-na-ndugu-yake-Esther-ndani-ya-CHADEMA.jpg

Hapa ndio chumbani?
 
picha tulizoziona katika vyombo vya habari zilipigwa na nani? Wassira bhana ana pumba yaani mpaka anakera sijui huko serikalini anafanya kazi gani!!!

Kazi zake huwa hazieleweki na huenda atakuwa anazifanya usiku kwasababu mchana mara nyingi anakuwa amelala hata ule mda akitoa hilo tamko kwa waandishi wa habari huenda alikuwa usingizini.
 
Ninategemea Wassira aje mbele ya vyombo vya habari na kusema "Nilinukuriwa vibaya" kama ilivokawaida ya wanasiasa.Maana hao ni watoto wake anaposema waliitwa chumbani kupewa kadi na Dr.Slaa wakati ushahidi wa picha unaonyesha hata kisemeo cha ITV, pia mpiga mpicha za mnato aliyeitoa picha hii, hakika inamuondolea heshima yake kama mzee na mzazi wa hao watoto wa mdogo wake....
 
Katika kile sasa kinachoonekana kuwa bifu kali kati ya hawa wanasiasa waili wa umri mkubwa, Waziri Wassira amemtaka Dr Slaa awe mwangalifu katka kutoa kadi za chama chake chumbani bila wadau wengine kuwapo!!
.
.
Wana bodi hili bifu sasa ni kali, lakini namii niliona lile jicho alilolikata yule binti mdogo mdogo kwenye TV, lilikaa kimahabuba, sijui pengine macho yangu.

Nawapongeza CDM kwa kupata wanchama wazuri hivyo.

Hapo kwenye blue, Wewe huwa unaangalia macho tu ??
Duh, jihadhari, maana unaweza kuishia kuangalia hata macho yasiyoangalika !!
Haya mkuu, angalia macho haya hapo kwenye picha !!
 
Attachments

  • Stephen Wassira.jpg
    Stephen Wassira.jpg
    15.9 KB · Views: 33
Jamani tusiwe wavivu wa kufikiria haswa katika mambo ya muhimu kwa taifa wasira ni kichaa tukimfuata hatutafanya mageuzi hata siku moja ndani ya nchi yetu kwanza yeye ndiooooo siku zake zinaishilia za kuishi duniani kikubwa wadau tusongeni mbele tuachane na mambo ya hisia kama mtoto wa wasira anampenda Dr. Slaa hata kama asingechukua kadi mzee angekula kichwa. kwa kifupi tuangalieni mbele tuache maisha personal
 
..........alikuwa amesinzia wakati habari inatangazwa alipo amka akahadithiwa tu........naye bila kufikiri akakurupuka kujibu......
 
Katika kile sasa kinachoonekana kuwa bifu kali kati ya hawa wanasiasa waili wa umri mkubwa, Waziri Wassira amemtaka Dr Slaa awe mwangalifu katka kutoa kadi za chama chake chumbani bila wadau wengine kuwapo!!

Kulingana na gazeti la Majira leo tarehe 1/10/2012, Wassira alikuwa akijibu mapigo kwa jina lake kutumiwa na Dr Slaa katika kuwapa kadi wanachama waili wenye jina la Wassira.
Hata hivyo Nd Wassira alisema ndugu zake hao ambao ni watoto wa kaka yake,Lilian na Ester Wassira wana haki ya kujiunga na chama chochote cha kisiasa.

Ni kinukuu gazeti la Majira la leo, lina sema:

" Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Bunda,mkoani Mara, Bw Wassira alimshukia Dr Slaana kumtaka
awe makini kuwaita wake za watu chumbanina kuwapa kadi bila maofisa wengine wa chama hicho kushuhudia tukio hilo."

Wassira aliendelea,

"Namtahadharisha Dkt Slaa kwani alichokifanya kinaweza kuleta mtafaruku katika ndoa za watu"

Wana bodi hili bifu sasa ni kali, lakini namii niliona lile jicho alilolikata yule binti mdogo mdogo kwenye TV, lilikaa kimahabuba, sijui pengine macho yangu.
imagejpeg

Nawapongeza CDM kwa kupata wanchama wazuri hivyo.

Imeandikwa: "Mtu huyawaza yaujazayo moyo wake". Kwa mantiki hiyo na kauli yake hiyo it is a very safe bet kuamini kuwa huyu mzee ana mawazo ya kizinzi!
 
Mimi naona ni ofisini sijui ''chumbani'' anakokuongelea ''PET'' WASSIRA ni wapi?

Lilian-Wassira-na-ndugu-yake-Esther-ndani-ya-CHADEMA.jpg

kwa kweli hili jicho ni la kimahaba sana mpaka baba mtu kashtuka

Wanakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha kuchukua sura ya kiumeni.
 
Back
Top Bottom