Nguo ya ondani ya mwanamke ina thamani sana

kuna watu wanaishi kwenye nyumba hawafungui dirisha wala pazia. Ukiingia hujioni. Huyu atakuwa kajiangalia gizani!

Wadada wengi wanaoishi miji mikubwa, asilimia kubwa wanajua wanachokidhamiria hasa mavazi, ku display underwear au transparency ya underwear ni muhimu sana kwao intensionally. Tena utashangaa mbona hiyo underwear ni mpyaa tuu, kama ni bahati mbaya mbona underwear zilizochakaa hazipewi promo?
 
Haipendezi kwa mtu kuonekana alama za nguo zake za ndani seuze rangi na maungo mengine

sasa hata ukiwa na kioo makalioni unajionaje? pengine hata hajui kama hiyo nguo inaangaza hivyo! musimfikirie vibaya!
 
sasa hata ukiwa na kioo makalioni unajionaje? pengine hata hajui kama hiyo nguo inaangaza hivyo! musimfikirie vibaya!

Kama nguo inaonyesha vile kwa nyuma, basi na kwa mbele inaonyesha vile vile. Kwa hiyo kutokuwa na kioo cha kuona nyuma sio hoja ya msingi.

Pia, nguo ya mwanamke huhitaji hata kioo kujua inaonyesha au la, ukiweka mkono ndani tu unajua.
 
wat i think she would attract more customerz if she would have wore a net dress and a bikini in it. Whooooh
 
mimi sisubiri iumwe bwana ndo maana naiprotect mimi hapa ipo hewani muda wote inapunga upepo mwanzo mwisho
chupi kitu gani bwana?
upuuzi mtupu?
chupi bongo machupi yenyewe ya kichina

angalia isiingile na vumbi maana tumbo linaweza kujaa vumbi hadi uvimbewe,si unajua tena mambile ya K.
 
So bad alafu alikuwa anatembea confidently mwenyewe hata habar hana kiukwel mm nikiona hvyo huwa nachanganyikiwa kbs
 
mi unaniumiza shingo bana!



uploadfromtaptalk1349091857596.jpg ​
 
nadhani sasa itabidi tubadili msamiati kwa ufupi tunakoelekea huko hakutakuwa tena na eneo linaitwa sehemu za siri. Zote zitakuwa ni sehemu za wazi tu!
 
Sio kila mtu aendaye Mlimani City anaenda kufanya shopping, wengine wanaenda kufanya shopping ya wanaume. Huyo mpaka atoke humo lazima kashapata mtu wa kubadilishana namba za sim
 
Wengine hawavai kabisa! Huyu kajitahidi sana kuvaa chupi! Kwanza jijini kuna joto sana!

Lakini na wewe macho yako yana thamani sana!

Unafaaa kuwa mwandishi wa habari.
 
mimi sisubiri iumwe bwana ndo maana naiprotect mimi hapa ipo hewani muda wote inapunga upepo mwanzo mwisho
chupi kitu gani bwana?
upuuzi mtupu?
chupi bongo machupi yenyewe ya kichina

Dah...! Nimependa style yako ya kufunguka bila woga. Nimejifunza jambo hapo. Ati chupi zenyewe za "kichina".!!??
 
mtoa mada hapo umeona chupi, mimi nimeona bra..........
hili nalo linaniudhi sana la kuacha mikanda ya bra nje. kwani lazima wote tuvae sleeveless gowns? kama mtindi wako hauwezi kuhold sleeveless bra basi pitwa na hiyo fashion? kuna magauni mazuru yana mikanda mwembamba, vaeni hayo jamani................... inaboa sana kuona mdada kavaa gauni zuri, mikanda ya bra nje
 
ahsante mwaya rais mtarajiwa!ila mbona huyu kavaa kwa hivi vyupi hivi tunavyoviona kubarabara hapa mbona kajistir huyu!
na siku hizi watu wamegoma kuvaa nguo zenye lining, bongo joto eti...................
 
Baada ya UJASIRIAMALI kuwashinda wadada wengu wa mujini, imebidi kuanza mfumo mpya wa KUJASIRIAMWILI amao hauihitaji mtaji wala elimu kama kianzio. JST USE WHAT YOU MAMA GAVE U FOR FREEE!
 
Back
Top Bottom