CCM yawakaanga Bashe, Kigwangalla

CCM yawakaanga Bashe, Kigwangalla

Siioni kwanini Uongozi wa CCM Mkoani au Wilayani wanajiingiza au kutoa matamko ya kuhusu watunisha misuri wawili,wakati swala lenyewe liko polisi.Wakati mwingine kama huna la kusema bora kuunganisha bongo kabla ya kufungua mdomo.Wamejidhalirisha wenyewe,familia zao,chama chao,na serikali yao.Aibu tupu.
 
Wanakumbuka enzi zile za chama kushika hatamu kwa sababu ofisi za CCM zilikuwa zikitumika kama vituo vya polisi na mahakama
 
Itakuwa aibu kwa polisi kukubali hili swala liishe kichama chama tu. Hapo itathibitika kuwa hata polisi ni idara ya ccm kama ma dc na ma rc.
Hizi picha za kihindi bana. Eti katibu wa ccm wilaya anamuandikia ocd afute kesi, kwani yeye kawa dpp? Naye ocd atakubali na kupiga saluti juu yake.
Tutakuwa na kila sababu ya kuamini kuwa polisi ni idara ya ccm, maana cdm wangefanya hayo mtiti wake ungekuwa mkubwa mno.
 
The vitumbua saga second episode

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
liwalo na liwe,sisi katika serikali tunawatakia kila la kheri!!!
 
Bashe arudishwe kwao somalia ili siasa za tabora zitulie.
 
Kwa hiyo CCM wameamua kuidharau Mahakama Live! Jambo la kutishia kuua tena kwa Silaha ni jambo la kimahakama, leo hii CCM wanataka litoke mahakamani liende kwao ndo wanaoweza kuliamu vizuri, Duh! Labda ni kwa sababu wanawajua hata aina ya Majaji waliowateua uwezo wao ni mdogo kuliko wa Nape ndio maana wanataka walishughulikie wao wenyewe.

CCM inaonyesha dhahiri itikadi za siri za matumizi ya silaha kinyume cha sheria, na inapotokea ni kufunikafunika tu kama ifuatavyo:
Aden Rage alisimama jukwaani hadharani na trigger, lakini CCM ikaishia kupita mlango wa nyuma kuwanyamazisha polisi na mambo yakaishia kimyakimya ati ametozwa faini ya laki moja, mahakama gani ilikaa na kutoa hukumu hiyo? Hatimaye ukumu ya kutengua matokea ua Uchaguzi Igunga wamedhalilika.

Hili la Nzega kutishiana trigger hadharani jambo ambalo ni kosa la jinai haiwezekane liishie kwenye vikao vya chama, angeuawa mtu nayo yangeishia kwenye vekao vya chama au kusingizia Chadema ndio walioua.

Uchafu, uvundo na kila takataka ndani ya CCM ni mbaya ni sawa na kisima cha maji ambacho myama kaingia ndani kunywa maji, ametifu tifutifu na maji yote ni rangi ya udongo tu na huwezi kupenyeza kuona cho chote kilichomo. Mateso tu uwepo wa CCM.
 
Hivi hili si kosa la jinai? Mahakama/polisi inawezaje kumwachia mtu kama huyu akamalizie suala lake kwingine? Ama kweli Bukene kuna mambo. Naona Rage alileta chachu na hamasa ya kutumia ile kitu
 
CCM kazi yao kufukia maovu! na mafisadi walianza kidogo kidogo kama hivi, waaache sheria ichukue mkondo wake, ili liwe fundisho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom