Recent content by Chocolate25

  1. Chocolate25

    Naomba kujua ni maswali gani huulizwa utumishi written interview

    habarini wana JF. Naomba kujua ni maswali yapi hupendelewa kuulizwa na utumishi kwenye written kada ya customer relation officer na public relations, kwa wenye experience na maswali yao katika kada hii.. Asante
  2. Chocolate25

    Mkeka wa TRA lini?

    Dah umenikumbusha kidonda, nlifanya interview Tasac hata majibu ya marks hayakutoka wala nn... yalitoka tu majina paaap, wameitwa kazini....[emoji38][emoji2969]
  3. Chocolate25

    Mbinu: Kutusua interview utumishi wa umma - PSPR

    Habari, eti wapi naweza pata past paper zao hawa jamaa nimeitwa written naogopa kichizi
  4. Chocolate25

    Kwa yeyote anayefahamu tiba ya P.I.D

    Mwambie awe anapasi chupi zake kabla hajavaa, Pid inatesaga sana lkn tumia pasi.. hakikisha chupi anazianika juani na baadae azipasi..
  5. Chocolate25

    Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility

    Mambo zenu wana Jf. Nina shida ya low sperm motility cjaweza mpa mwanamke yyte ujauzito, naomba kujuzwa dawa za kutibu sperm motility. Motility yangu ni ndogo naombeni msaada. Asante
  6. Chocolate25

    Ni jinsi gani naweza kuongeza sperm motility

    Kaka habari. Nilikua napitia comment za JF. Nina shida ya Low sperm motility vp unaweza nisaidia ulifanyaje mpaka ukapona?
  7. Chocolate25

    Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility

    Habari wana JF. Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie. Asante.
  8. Chocolate25

    Ni Gynaecologist bora kwa Tanzania

    Nishamtanguliza ndo maana natafta gyno pia
  9. Chocolate25

    Ni Gynaecologist bora kwa Tanzania

    Habari wana JF. Nipo hapa kuuliza kama kuna mtu yeyote anafaham daktar mzuri wa wanawake hapa Tanzania au Dar es salaam...
  10. Chocolate25

    Oliver N’goma - NGE (Ujumbe kwa binti anayemgoja mwenzio wake)

    Hee. Leo ndo nimejua maana ya huo wimbo wa nge.. na ninaupenda sana kuusikiliza kila mara duhhh.. asante mkuu.. Rest in Peace legendary Oliver Ngoma[emoji120][emoji3577]
  11. Chocolate25

    Possible theories for the end of the world

    The following theories are some of the possible ones for the end of the world.. a.k.a appocalypse[emoji116][emoji116] 1. Gama ray blast This may happen when a nearby star explodes as a super nova and cause the cosmic rays to reach earth. 2.Dying of the sun As you may know the sun is a star...
  12. Chocolate25

    Naomba kujuzwa Hospitali nzuri za IVF kwa Tanzania

    Naomba ushauri wa kujua hospital nzuri za ivf treatment na iui.
Back
Top Bottom